Maswa: Silvester Kasulumbayi arejea CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Mbunge wa zamani wa Maswa kupitia Chadema, aliyekihama chama hicho na kwenda kujificha ACT Wazalendo Leo Amerejea tena Chadema.

Marejeo hayo yamefanyika mbele ya Umati wa Wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa Jimboni hapo na John Pambalu akishirikiana na Twaha Mwaipaya.

Bado haijafahamika kilichomuondoa Chadema wala kinachomrejesha sasa.

FB_IMG_1684775767299.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Duh kanikumbusha mbali sana jinsi Chadema illiteka Shinyanga nzima. Kuna Sylvester Kasulumbay, Meshack Opulukwa, Shibuda na Professor Kuliyokela Kahigi!

Aisee hiyo roster ilikua si mchezo. Pale Shinyanga mjini tulishinda wakaiba, tukaenda mahakamani wakamuua mgombea wetu otherwise tungebeba mkoa mzima!!

Naona moto ule ukirejea 2025
 
Duh kanikumbusha mbali sana jinsi Chadema illiteka Shinyanga nzima. Kuna Sylvester Kasulumbay, Meshack Opulukwa, Shibuda na Professor Kuliyokela Kahigi!! Aisee hiyo roster ilikua si mchezo. Pale Shinyanga mjini tulishinda wakaiba, tukaenda mahakamani wakamuua mgombea wetu otherwise tungebeba mkoa mzima!!

Naona moto ule ukirejea 2025
Chadema moto wake ulizimwa na mapangaShaa tu. Njr ha hapo hakuna
 
Mbunge wa zamani wa Maswa kupitia Chadema, aliyekihama chama hicho na kwenda kujificha ACT Wazalendo Leo Amerejea tena Chadema.

Marejeo hayo yamefanyika mbele ya Umati wa Wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa Jimboni hapo na John Pambalu akishirikiana na Twaha Mwaipaya.

Bado haijafahamika kilichomuondoa Chadema wala kinachomrejesha sasa.

View attachment 2631557

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
HUYU HAFAI, KESHO ATAHAMA TENA FURSA ZIKIPATIKANA KWINGINE. HANA ANALOLIPIGANIA ISIPOKUWA TUMBO LAKE. ANAONA SAA KUNA UWEZEKANO MKUBWA CHADEMA IKASHINDA CHAGUZI NA NAFASI NYINGI,HIVYO ANAVIZIA FURSA
 
Duh kanikumbusha mbali sana jinsi Chadema illiteka Shinyanga nzima. Kuna Sylvester Kasulumbay, Meshack Opulukwa, Shibuda na Professor Kuliyokela Kahigi!

Aisee hiyo roster ilikua si mchezo. Pale Shinyanga mjini tulishinda wakaiba, tukaenda mahakamani wakamuua mgombea wetu otherwise tungebeba mkoa mzima!!

Naona moto ule ukirejea 2025

Yeah! Shilembi Magadula. Ile ilikuwa golden generation. Bora alienda ACT kuliko CCM.
 
Mbunge wa zamani wa Maswa kupitia Chadema, aliyekihama chama hicho na kwenda kujificha ACT Wazalendo Leo Amerejea tena Chadema.

Marejeo hayo yamefanyika mbele ya Umati wa Wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa Jimboni hapo na John Pambalu akishirikiana na Twaha Mwaipaya.

Bado haijafahamika kilichomuondoa Chadema wala kinachomrejesha sasa.

View attachment 2631557

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mungu ibariki CHADEMA
 
Huo umati ndo huo?
 
Anaruka majivu ajakanyaga moto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom