Mzee Malecela kupokelewa na Haji Manara kiukweli CCM DSM hamjamtendea haki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,989
142,006
Jana mzee Wetu Malecela amewasili Dar kwa ajili ya msiba wa mwanae Le mutuz

Mzee Malecela ni Makamu mwenyekiti wa CCM mstaafu alistahili mapokezi yenye hadhi katika wakati huu mgumu

CCM tujifunze upendo tusikumbatie Uchawa tu

Hata hivyo Nampongeza Haji Manara kwa upendo na Urafiki wa kweli
 
Labda hajachagua kundi.......!

Wasiokufa wanamuona si mwenzao na wanaokufa wanamuona si mwenzao.
 
Maisha ya mtoto wake nayo yalikuwa ya kihuni sana mzee kama yule alipaswa kuwa na hekima we mtu mzima kama yule kutwa kuchambana na mange na matusi juu mitandaoni mara video la x limevuja mara yupo na vibinti vipo uchi nahisi ndio maana hata wana ccm wenyewe kama hawapo vile
 
Jana mzee Wetu Malecela amewasili Dar kwa ajili ya msiba wa mwanae Le mutuz

Mzee Malecela ni Makamu mwenyekiti wa CCM mstaafu alistahili mapokezi yenye hadhi katika wakati huu mgumu

CCM tujifunze upendo tusikumbatie Uchawa tu

Hata hivyo Nampongeza Haji Manara kwa upendo na Urafiki wa kweli
Ulitaka apokewe na Rushayna!
 
Haji. Mamara ??? Yule ni chawa pro! Chawa nyumbani kwao lumumba yule kakulia lumumba! Hivyo ni chaaawa
 
Maisha ya mtoto wake nayo yalikuwa ya kihuni sana mzee kama yule alipaswa kuwa na hekima we mtu mzima kama yule kutwa kuchambana na mange na matusi juu mitandaoni mara video la x limevuja mara yupo na vibinti vipo uchi nahisi ndio maana hata wana ccm wenyewe kama hawapo vile
Marehemu aliishi kihuni alikuwa na miaka 60 lakini bado akawa chawa wa Devis mosha
 
Jana mzee Wetu Malecela amewasili Dar kwa ajili ya msiba wa mwanae Le mutuz

Mzee Malecela ni Makamu mwenyekiti wa CCM mstaafu alistahili mapokezi yenye hadhi katika wakati huu mgumu

CCM tujifunze upendo tusikumbatie Uchawa tu

Hata hivyo Nampongeza Haji Manara kwa upendo na Urafiki wa kweli
Chama chenu kina ushenzi mwingi. Ni chama cha mashetani
 
Back
Top Bottom