Wanakijiji kuchangishana kujenga muundombinu wa maji na kawaomba CHADEMA wauzindue, nasema Mungu ibariki CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,020
Hicho Kijiji CCM ya Waziri Awesu ipo lakini wananchi kwa mapenzi mema wakawaomba CHADEMA wawafungulie mradi wao wa maji walioujenga wao wenyewe basi nawapongeza sana wanakijiji na CHADEMA.

Na nasema Mkuu wa Idara ya Maji aliyekwenda kubomoa kibao cha uzinduzi ni "Mshamba" kuliko mwanakijiji japo katokea mkoani Njombe. Bure kabisa Idara ya Maji!

CC: Mzee Mgaya wa Chaugingi Njombe
 
Ila nawaambia Jua halitazama humohumo sisiem atajitokeza raisi mwny mkono wa chuma tena.

Na safari hii hawatakuwa na cha kufanya.

Subiri tuone.

Ila samia atakuja kuona kibaya alichofanya akistaafu atasahaulika sana mana yupo katkat ya wanafiki
 
Back
Top Bottom