Serikali iunde Dna Database ili kukabili uhalifu sio kutumia pesa za uma kwa anasa na miradi ya kifasadi ya vibopa wa CCM.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma.

Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna test na inalinganishwa na viashiria alivyoacha kama nywele au damu na ushahidi unakamilika. Lakini CCM hawawazi la maana kwa nchi nii zaidi ya upigaji tu.

Styupidee styupideee
 
Pia Jeshi la Polisi linapaswa kurumia mtandao wa kiteknolojia wa CCTV kwa kupitia PPP, ili matukio yote yaweze kuangaliwa kupitia picha zake. Itakuwa ni rahisi sana kwa polisi wetu kufuatilia mienendo yote ya kiusalama kwa urahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom