Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi...
Wanabodi nachukua fursa hii kuwatakia afya njema. Nami naomba nichukue fursa hii kutoa maoni yangu juu ya yale aliyoyazungumza Mh. Jesca Kishoa mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA na mke halali...
Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongolo amewataka watu wenye degree wakasome VETA Ili kupata Uwezo wa Kujiajiri.
Kujiajiri kunataka maarifa ambayo ukienda VETA utayapata
Source: Mwananchi
Sisi vijana wa nchi hii ndo tunamakosa makubwa na sio viongozi, yaani vitu vinapigwa huko sisi tumelooowa tu, sjui shda iko wapi jmn au ni ujamaa wa Baba etu wa taifa MWALIMU NYERERE umetukuza...
Viongozi wa Chadema mnataka kuongoza nchi kwa namna hii kweli? Kiongozi wa nchi kaingia Arusha kwa shughuli za kiserikali halafu nyie mnafanya vurugu barabarani na bodaboda eti tunamsubiria Lema...
Moja ya mambo nitakayoangalia kwa umakini mkubwa ni mitandao hii yaani inaweza ukakutoa kwenye reli kabisa.
Many social media edicted monsters speak nonsense, allogancy, stupid, fallacy and...
Ungana Nami; Kitilingo Ramadhani
Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum imekuja na mfuko wa maendeleo ya wanawake kutokana na tamko la Bunge lililopitishwa mwezi Agosti...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo.
"Ndugu zangu Wananchi...
Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande...
Mwekezaji wa Shamba kubwa la alizeti huko Ikungi Singida amemwambia Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongolo kwamba Vijana wa eneo hilo ni Wavivu sana
Mwekezaji amesema hulipa ujira wa tsh 10,000 kwa...
Wanawake wa Tanzania wamepewa kanga zakutosha na vitenge kuelekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi wamejipanga Kuvaa vitenge kusherekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi watabeba...
Habari Wakuu..
Ni swali nauliza , Zanzibar wanaweza vipi kuendesha Serikali na Kugharamia Miradi Ikiwa Mapato Yao na Bajeti ya Nchi Yao hawafikishi hata Tilioni Moja?
Yaani Kwa mwaka 2022...
Chama cha Umoja Party ambacho ndio kilikuwa chama cha kutetea legecy ya Jemedari Hayati Magufuli kimekataliwa kupewa usajili licha ya kuwa na vigezo vyote
Ni dhahiri serikali ya sasa inaogopa...
Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Said Othman Yakubu na Viongozi wengine wa Serikali wakiwa katika siku ya pili ya Mkutano wa faragha wa viongozi unaondelea Kituo cha mikutano cha...
Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili.
Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya miradi ya kimakakati mkoani Mara huku akishiriki ziara ya Kamati ya Siasa Wilaya...
Mbunge wa Viti Maalum kutokea Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete tarehe 01 Machi 2023 ameshiriki Mkutano wa Uzinduzi wa Daraja la Mto Mori & Wamaya Katika Kata ya Kirogo Wilayani Rorya Mkoani...
MKUTANO wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa G20 uliofanyika Alhamisi ulikuwa wa mafanikio makubwa huku matokeo yakionyesha matamanio ya nchi zinazoendelea, na nchi za G20 zikijadili masuala mengine ya...
Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA mh Godbless Lema amesema wanawafundisha Wanachama wao kutomkosoa au kumtukana Rais Wetu kwa sababu ameonesha kwa vitendo kuiheshimu Demokrasia.
Tutamshauri tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.