Watanzania wanaosafiri kuelekea Malawi, wapewa Namba ya simu ya dharura

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,567
32,221
Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi.

Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
hpolepole_1677082197070339.jpg
 
Yupo bongo hapa wiki hii..si um-Dm insta? Au nikupe namba ya nanihii wake? Kwamba shule ilifungwa 'until further notice ' sio?
 
Huyo ni chawa wa mwendazake.

Ni mmoja wa watu wenye akiki ndogo sana.

Kuna wakati aliita press anapiga hesabu ya upotevu wa 1.5 Trillion.

Upumbavu ni kipaji, amejaaliwa haswa.
 
Safi sana balozi hapo umeonesha uongozi kwa vitendo na cheo umeweka pembeni. Kiongozi mzuri ni yule anafikika kirahisi na wananchi anao watumikia.
 
Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi.

Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
View attachment 2526640
Jamaa anapiga mizinga sana ukipiga namba hiyo, utasikia aisee kama una hamsini nicheki bana
 
Huyo ni chawa wa mwendazake.

Ni mmoja wa watu wenye akiki ndogo sana.

Kuna wakati aliita press anapiga hesabu ya upotevu wa 1.5 Trillion.

Upumbavu ni kipaji, amejaaliwa haswa.
Mpumbavu ni wewe,ambaye hujui na hujijui kama hujui,kuwa mfuasi wa mwenda zake kuna shida gn?
 
Back
Top Bottom