Katika mazingira ambayo hayakutarajiwa Baadhi ya wastaafu hapa Dar es salaam wamekosa pension zao mwezi May hadi inafika tarehe 31/5/2018..
Wanapoulizia kule wanapochukulia pesa zao wanaambiwa...
Habari wanaJF
Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua...
Mkuu wa Jeshi la polisi Mstaafu, kamanda Saimoni Sirro katika mahojiano ya kipindi Cha dakika 45 Cha ITV akijibu swali la mtangazaji Fahria Middle ametoa majibu hayo baada ya kuulizwa kuhusiana na...
Kuna wimbi la Wazungu wanapigana vikumbo kutaka hekari na hekari za maeneo kwenye wilaya za Monduli, Simanjiro na Longido, na sana Simaniro na Longido ndizo wilaya zinaweza poteza robo tatu ya...
Watu wa Wizara ya Mambo ya Nje,Wizara ya Maliasili/Utalii na Msemaji wa Serikali mumelala huku Jarida la Bloomberg Africa likiandika Makala ya upotoshaji inayolenga Kujichafua Nchi na kuhujumu...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 32 leo Mei 24, 2023.
Mbunge ahoji wazee wa bara kutopata pensheni kama wanavyopewa wenzao wa zanzibar
Mbunge Boniphace Mwita...
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu
Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote
Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona...
Hii nimeikuta kwenye makala Moja ya waarabu wa Zanzibar inayozungumzia Uislamu na Haki
Kumbe kuna vitu huesabiwa ni vikubwa katika Ulimwengu wa roho kuliko haya mambo ya Mwilini na tamaa zake...
Mtoto alipewa Kuku na Mama yake ili amfuge, na mtoto alimpenda sana Kuku wake, lakini mtoto huyu ndoto yake ni kua mwanasiasa mkubwa katika nchi yetu, siku Mbowe amefika Kigoma mtoto aliemwambia...
Wananchi wa Buhigwe Kigoma wamelalamika kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kwamba Wanatozwa Tozo ya kibali cha Mazishi tsh 20,000.
Kadhalika wakiwa na Sherehe za Kimila za kuwapa Zawadi maharusi au...
Kwa mujibu wa sheria kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na Mali zao, hii ni kazi inayohitaji wito Kama kua padri wa kirumi, inahitaji mtu muadilufu kama shehe wa kule makka...
Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita...
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya...
Wote tunafahamu baadhi ya viongozi wamefikishwa kwenye vyombo vya sheria akiwemo JOHN PIMA aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Arusha, wito wangu ni kwamba wale wote walionufaika na mgao huo kupitia...
Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.