Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma.
Ikulu mpya ya Chamwino...
TRA ilianzishwa Kipindi Cha awamu ya tatu ,Chini ya Jemadari,Rais Mstaafu Marehemu Ben Mkapa!!
Je awamu ya kwanza na ya pili ni taasisi gani ilihusika Moja kwa Moja na ukusanyaji wa mapato ya...
Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,
Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha...
Walinda legacy bado wapo katika msiba, wanatukana kila kiongozi wa nchi hii aliyepita. Hawana staha hata kwa baba wa Taifa, wanasema eti hata yeye hajafanya kitu isipokuwa ni Magufuli tu ndo...
Hovyo kabisa!
Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao...
Mngejua nguvu na mama oneni alivyomtoa Kalemani na Chamuriho na sukumagang wengine
Mnaona alivyowatoa fasta sukuma Gang wote?Tena chaap kwa haraka bila hata kujitetea
Wengine walikua na makosa...
Kinachowasaidia sana ccm kubaki madarakani ni wapinzani na watanzania kusahau matukio mazito kwa mda mfupi. Tena wana mbinu sana hawa watu, walipoona swala Alphonce Mawazo limepamba moto wakaamua...
MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia...
Utanzania kwanza 🇹🇿
1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na...
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeadhimisha kilele cha Siku ya Uanuai wa Utamaduni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambayo huadhimishwa duniani kote tarehe 21 Mei kila mwaka.
Akizungumza...
Nimeridhika na Maelezo ya Chadema kwamba wanatoa Elimu ya Katiba Mpya jinsi itakavyowakwamua Watanzania waliozungukwa na Ufukara
Kwamba wamejibobeza kwenye Maendeleo ya WATU siyo Vitu
Mungu...
KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika...
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 21, 2023 jijini Dar es Salaam amefungua wiki ya michezo kuelekea Siku ya Afrika Mei 25, 2023 iliyoandaliwa na Umoja wa...
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.
Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MAWASILIANO, TEKNOLOJIA YA HABARI NA UCHUKUZI ACT WAZALENDO MWL. PHILBERT MACHEYEKI KUHUSU MPANGO WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba leo 21/5/2023 , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na Team yake akiwemo Katibu Mkuu John Mnyika , bado wangali Kigoma katika ile Operesheni Kabambe...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kwamba kanisa Katoliki linawezaje kuthibiti migogoro ndani yake? Hata kama ipo ni ngumu kuisikia mtaani kiasi cha kutitishia ustawi wa kanisa hilo, baadae nikapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.