Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula
Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari...
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli.
Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa...
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe...
Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli.
Mifano iko wazi:
1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call...
Mada hii imawahi zungumzwa humu. Naomba kukazia zaidi. Kama wewe ni mfanyabiashara utaona kuwa biashara inachanganya mwisho wa mwezi. Baada ya wiki hivi inakata kabisa. Unakuwa unadunduliza tu...
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa...
Hizi ni hofu au ndio protocal mpya? Tulishuhudia awamu ya mwendazake msafara wake ukiwa na Anti-ballistic missile sasa awamu hii naona Mama anazunguka na kiti chake haamini viti vya ugenini?
Wenje aunguruma Sengerema
Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na...
MHE. JACQUELINE KAINJA ACHANGIA MILIONI 3.6 UWT MKOA WA TABORA, AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja amechangia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake...
Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na teknolojia, sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini na...
Ujumbe Mahususi wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma,Ndugu Ngozi kwa wenye akili unapaswa kubebwa kwa uzito mkubwa!Ujumbe huu unakuja baada...
Siku zote tumesema na kurudia tena na tena, kwamba Wazee ni Hazina, hakuna jambo linaloweza kufanikiwa bila kuchota Busara na Ushauri wa Wazee.
Baada ya kukutana na Mbowe , Wazee wa Katavi...
Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji.
Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu.
Ndugu yetu mh Lisu baada ya...
Uchambuzi wa Bajeti ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Utangulizi.
Katika mwendelezo wa uwasilishaji, mijadala na upitishwaji wa bajeti Bungeni, Jana tarehe 22 Mei 2024, Prof...
Dunia nzima kwa sasa hakuna serikali inayo weza kutawala nchi bila ushirikiano na wapinzani labda iwe ya kidikteta halisi au kidikteta uchwara. Nchi nyingi zinatumia mfumo wa serikali za mseto...
Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye...
TRA kamatieni hapo hapo,hao watu sio wa kucheka nao wote tunaishi mtaani ukidai risiti wanakuzungisha mara wasema network inazingua na blaa blaa kama hizo..
Mara kadhaa nimewahi kuwaambia Tumieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.