Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.
Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia...
SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI
"Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe...
Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 inayowahusu Freeman Mbowe na wenzake...
Hapa kuna hoja.
Hazina kupitia Wizara ya fedha inakuwaje watumishi wa Umma (serikali) hupokea mishahara yao tarehe tofauti tofauti?
Mara waanze Serikali Kuu, mara Serikali za Mitaa, Mara...
Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana...
Nionavyo Mimi,
Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini.
Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli.
Lakini hapa...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa...
Tulitegemea kwamba wale walioumiza wengine wachukuliwe hatua kwa mjibu wa sheria, au hata kuomba msamaha hadharani lkn ni tofauti ndio kwanza wanapandishwa vyeo.
Tulitegemea kwamba wale...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama Wajawazito wilayani Korogwe zilizopewa jina “#MAMATHON’. Mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 28 mwaka huu lengo...
Nimesikiliza hizi clips mbili,Sound clip pamoja na video clip ya Mwanafamilia!
Kwa kutaka kulianzisha mnalolitaka!Ni wazi kuna ka asili ka visasi ndani ya ukoo ,na nimekuja na tafsiri moja tu...
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me
Martin na Malcom:
Kisa cha...
Hawa wakichangia jambo bungeni unaona wanafahamu nini maana ya kuwa mbunge na uzito wa jukumu walilo nalo kwa taifa linalowahudimia kwa kodi za raia wavuja jasho.
Wanakuwa wamesoma na kujiandaa...
Chadema na mihemko yenu mnakumbushwa msije kutuletea hasara kama Nchi kadhaa za jirani
=====
Mwanasiasa mkongwe nchini Balozi Getrude Mongella, ameshauri Katiba iliyoundwa na waasisi wa Taifa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema katika Katika Katiba Mpya wanataka Viongozi wawe wanapatikana kihalali kwa kupigiwa kura na kushinda bila mizengwe
Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwenyekiti wa...
Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma...
Ndugu zangu, kutokana na usiri na harufu ya ufisadi kwenye mradi wa kilimo wa BBT nimelazimika kumuandikia barua waziri wa kilimo na kumpa siku 30 za kuweka wazi kwa umma taarifa na mchanganuo wa...
Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya...
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.