Mbowe: Diwani, Mbunge au Rais anayepatikana kwa Kura za Wizi huyo ni Mwizi kama Mwizi wa Kuku!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema katika Katika Katiba Mpya wanataka Viongozi wawe wanapatikana kihalali kwa kupigiwa kura na kushinda bila mizengwe

Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwenyekiti wa Kijiji, Diwani, Mbunge au Rais anayepatikana kwa Kura za Wizi huyo ni Mwizi kama Mwizi wa Kuku, amesisitiza mzee Mbowe

Source: Mwanzo tv
 
Siasa rahisi sana, waambie kile watu wanataka kusikia. Ila kiukweli Mbowe sasa anaishi kwa amani sana, alivumilia mno na ana jeuri ya pesa na ego ya ukubwa na umaarufu wa familia yake ndio maana alikomaa mpaka mwisho. Kapitia mateso yeye na familia yake kiasi cha kuhamisha familia yake Afrika ya kusini. Ukisikia mambo yaliyokuwa yakifanyika dhidi ya members wa familia yake na familia zilizokaribu naye yanasikitisha mno ni aibu hata kuyataja.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema katika Katika Katiba Mpya wanataka Viongozi wawe wanapatikana kihalali kwa kupigiwa kura na kushinda bila mizengwe

Mwenyekiti wa Kitongoji, Mwenyekiti wa Kijiji, Diwani, Mbunge au Rais anayepatikana kwa Kura za Wizi huyo ni Mwizi kama Mwizi wa Kuku, amesisitiza mzee Mbowe

Source: Mwanzo tv
If A=B and B=C therefore A=C

If magufuli aliiba kura, aKAWA RAIS, Therefore ni MWIZI, then akafa: Then akaja mtu mwingine: Akachukua KITI chake bila kupigiwa kura: THEREFORE NAYE HUYU NI MWIZI

AU UNASEMAJE johnthebaptist
 
Back
Top Bottom