Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua.
Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi...
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA
“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi...
Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho.
Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao.
Siamini kama watakuwa tayari...
MBUNGE NICODEMUS MAGANGA AITAKA SERIKALI KUWA NA MFUMO MZURI WA KUWATAMBUA WASTAAFU
Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amehoji Serikali kuwapiga chenga wastaafu pindi wanapoanza kudai...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 33 leo Mei 25, 2023.
Mbunge ahoji suala la mashine za xray na ultrasound kukaa kwa miaka saba kwenye makasha ya kusafiria bila...
naona tunapotoshana kuanzia kwa wabunge mle bungeni , na ss huku uraiani tunayachukua jinsi yalivyo na kuyasambaza. mwisho wa siku picha inajengeka ni upigaji. huu ni upotoshaji mkubwa.
zile pesa...
Agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuandaa mkutano wa Watunza Kumbukumbu na Makatibu Mahsusi, limetekelezwa. Serikali imewaagiza waajiri, taasisi za umma na binafsi nchini, kuwaruhusu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi wa Tanzania na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka leo tarehe 27 Mei, 2023...
MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za...
Kwa hili natoa kongole nyingi kwa Halima Mdee..
Ni aibu Nchi imejaa Migogoro ya Ardhi na Ujenzi holela harafu Tume ya Ardhi inatengewa pesa kiduchu na Wanasiasa wanatengeana mabilioni ya posho...
Uongozi Institute Kwa Kushirikiana na AFCFTA Secretariat Wameandaa Jukwaa la Uongozi yaani African Leades Forum ambalo litajadili Mambo ya Biashara Huria Africa na Miongoni Mwa Viongozi...
..CCM walitoa tangu kwamba wanakubali mchakato wa Katiba Mpya uanze.
..Lakini tangu chama kitoe tamko hilo sijawasikia makada wa CCM wakitoa maoni au mapendekezo kuhusu nini wanachokitaka ktk...
-Jamii yashauriwa kuacha mila na desturi potofu juu ya masuala ya hedhi.
Na. WAF - Dodoma
Wito umetolewa kwa jamii kuwa na uelewa kuwa hedhi sio balaa, ugonjwa wala sio laana bali ni mabadiliko...
Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa...
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi...
Tulionya Mapema sana kwamba tukipewa nafasi ya kupanda kwenye majukwaa kwenye mikutano ya hadhara na kuongea na wananchi, tuna uwezo wa kuteketeza ccm kwa muda wa siku 7 tu na sasa imedhihirika...
Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG...
Hello!!
Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.