Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me

Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,

Martin Luther King Jr, aliwahi kukutana na Malcom X mara moja tu katika kipindi cha maisha yao, mwaka 1964 Machi 26, na mkutano wao ulidumu kwa dakika moja (One minute meeting).

Sasa, unaweza kujiuliza kwanini hawa nguli wa haki za Raia weusi kwanza walikutana mara moja tu, pili, hawakuweza kujadili chochote muda mrefu, Tatu, ingawa walikuwa na "common agenda" hawakuwahi kukubaliana namna ya kufikia malengo mpaka wanakufa, mwisho, hawakuwahi kujiunga pamoja.

Kimsingi Martin aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao ni njia sahihi ya kufikia malengo ya kumkomboa mtu mweusi, wakati Malcom X aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao yanapoteza muda mrefu na kuongeza maumivu kwa watu weusi, hivyo njia sahihi ni kudai haki yao kwa kuwakabili watesi wao na wenye madaraka kwa nguvu ileile wanayotumia kuwakandamiza (offensive and active attacks). Tofauti hii haikuwahi kuwa "reconciled" na ndo msingi mkuu wa kutoelewana na kutoshirikiana kati yao.

Lissu na Mbowe:
Hatari kubwa iliyopo kwa sasa ndani ya chadema ni Lisu na Mbowe kuliko hata CCM na washirika wake. Mbowe alipoanza mazungumzo ya Siri ya Muafaka/Maridhiano hakuna aliyemuelewa ndani ya chama. Ikafikia viongozi wenzie kumshutumu kuwa kalamba Asali. Baada ya kujieleza sana katika mkutano wa kule Marekani na pia Mwanza (alleged drunk), lakini pia baada ya CCM na serikali kutoka na kutangaza matokeo machache ya maridhiano , baadhi ya viongozi wakamuelewa au wakavunga kumuelewa.

Hata ivyo walliovunga kumuelwa sasa hawamuelewi kabisaa, wamemgeuka na wanambeza majukwaani kama Malcom X alivyokuwa akimbeza Martin Luther King Jr. Siku zote Malcom X alikuwa akimbeza sana Martin majukwaani.

LISSU akiwa kiongozi wa juu kabisa, anasema ni ujinga kushiriki majadiriano na maridhiano, yeye na washirika wake wanasema subira na mijadara inawachelewesha kufikia Malengo, wanasema hawataki muafaka kesho wanautaka leo. Wanasema majadiliano ni asali na hayatakuwa na Tija yoyote kwani yanalenga kuwanyima haki ya kuchukua madaraka 2025. Wanataka kila kitu kifanyike sasa kabla ya Uchaguzi

HATARI:
Mpaka sasa hakuna asiyafahamu kuwa Mlengo wa Martin Jr ulifanikiwa kufikia malengo ingawa kwa kuchelewa. Lakini pia hakuna asiyefahamu kuwa mafanikio haya yalikuja kwa sababu upande wa Martin Jr walikuwa wamoja na wenye imani thabiti na propaganda yao na kuheshimu muafaka wa amani na majadiriano. Hawakuwahi kujichanganya na upande wa Pili.

Kwa muktadha huu wa LISU na hotuba zake katika mikutano ya hivi karibuni ni dhahiri CHADEMA hawana makubariano ya pamoja ya nini wanahitaji kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Malcom X na Martin Jr wako katika chama kimoja kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Marcom X na Martin Jr wanafanya vikao zaidi ya Dakika moja tena kinafiki. Ni dhahiri kuwa mwisho wa siku Wafuasi wa Marcom X wataamua kuachana na Martin Jr na kila upande kuendelea na mapambano yake kwa kufuata imani yao ya kimkakati. Ni dhahiri kuwa MALCOM X na MARTIN Jr ni wanafiki wakati ambao unafiki si tija tena hivyo harakati na siasa zao hazitafika 2025 kabla hawaja parulana na kuachana.

Moral of the Martin Jr Vs Malcom X movements:

Huwezi kuwa na "ideology" mbili zinazolenga kufikia lengo moja zikachanganywa na zote zikafanikiwa kwa wakati mmoja. CHADEMA sipojipambanua sasa, 2025 itakuwa ni vyama viwili visivyo na tija yoyote.
 
Dah Mkuu,
uliiiona hii, mwananchi la leo lime "report" story yako ha ha
 
Chadema imedumu sababu Kuna kuvumiliana wanapotofautiana. Shibuda alipokua anamtukana Mbowe wazi Kuna watu mlidhani atatimuliwa ila alijiondoa mwenyewe.

Dr Slaa alipotofautiana na Mbowe kuhusu Lowassa mlitabiri mpasuko ila wapi. In fact aliondoka mwenyewe Wala hakutimuliwa.

Zitto kupishana na Mbowe mlitabiri chama kupasuka ila wapii.

same to Mnyika alipinga wazi ujio wa Lowassa na mkadai ataenda CCM ila wapi in fact ndio kawa Katibu Mkuu.

same to Msigwa alipingana na mwenyekiti Mbowe mara kibao tu mkadai kafika bei ila mpaka Leo bado yupo imara zaidi.

Chadema Ina uvumilivu wa kutosha wa kutofautiana kimawazo huku mnafanya kazi pamoja. Tofauti na huko CCM huyo Lissu angekwisha anzisha makundi, angeitwa vikao vya maadili n.k ila huku kwetu hatuna hayo Kila mtu anaruhusiwa kumchallenge mwenyekiti ndio Mbowe anasema kwenye vikao walimkaanga kwanini anaenda enda ikulu Kila wakati!!
 
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me

Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,

Martin Luther King Jr, aliwahi kukutana na Malcom X mara moja tu katika kipindi cha maisha yao, mwaka 1964 Machi 26, na mkutano wao ulidumu kwa dakika moja (One minute meeting).

Sasa, unaweza kujiuliza kwanini hawa nguli wa haki za Raia weusi kwanza walikutana mara moja tu, pili, hawakuweza kujadili chochote muda mrefu, Tatu, ingawa walikuwa na "common agenda" hawakuwahi kukubaliana namna ya kufikia malengo mpaka wanakufa, mwisho, hawakuwahi kujiunga pamoja.

Kimsingi Martin aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao ni njia sahihi ya kufikia malengo ya kumkomboa mtu mweusi, wakati Malcom X aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao yanapoteza muda mrefu na kuongeza maumivu kwa watu weusi, hivyo njia sahihi ni kudai haki yao kwa kuwakabili watesi wao na wenye madaraka kwa nguvu ileile wanayotumia kuwakandamiza (offensive and active attacks). Tofauti hii haikuwahi kuwa "reconciled" na ndo msingi mkuu wa kutoelewana na kutoshirikiana kati yao.

Lissu na Mbowe:
Hatari kubwa iliyopo kwa sasa ndani ya chadema ni Lisu na Mbowe kuliko hata CCM na washirika wake. Mbowe alipoanza mazungumzo ya Siri ya Muafaka/Maridhiano hakuna aliyemuelewa ndani ya chama. Ikafikia viongozi wenzie kumshutumu kuwa kalamba Asali. Baada ya kujieleza sana katika mkutano wa kule Marekani na pia Mwanza (alleged drunk), lakini pia baada ya CCM na serikali kutoka na kutangaza matokeo machache ya maridhiano , baadhi ya viongozi wakamuelewa au wakavunga kumuelewa.

Hata ivyo walliovunga kumuelwa sasa hawamuelewi kabisaa, wamemgeuka na wanambeza majukwaani kama Malcom X alivyokuwa akimbeza Martin Luther King Jr. Siku zote Malcom X alikuwa akimbeza sana Martin majukwaani.

LISSU akiwa kiongozi wa juu kabisa, anasema ni ujinga kushiriki majadiriano na maridhiano, yeye na washirika wake wanasema subira na mijadara inawachelewesha kufikia Malengo, wanasema hawataki muafaka kesho wanautaka leo. Wanasema majadiliano ni asali na hayatakuwa na Tija yoyote kwani yanalenga kuwanyima haki ya kuchukua madaraka 2025. Wanataka kila kitu kifanyike sasa kabla ya Uchaguzi

HATARI:
Mpaka sasa hakuna asiyafahamu kuwa Mlengo wa Martin Jr ulifanikiwa kufikia malengo ingawa kwa kuchelewa. Lakini pia hakuna asiyefahamu kuwa mafanikio haya yalikuja kwa sababu upande wa Martin Jr walikuwa wamoja na wenye imani thabiti na propaganda yao na kuheshimu muafaka wa amani na majadiriano. Hawakuwahi kujichanganya na upande wa Pili.

Kwa muktadha huu wa LISU na hotuba zake katika mikutano ya hivi karibuni ni dhahiri CHADEMA hawana makubariano ya pamoja ya nini wanahitaji kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Malcom X na Martin Jr wako katika chama kimoja kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Marcom X na Martin Jr wanafanya vikao zaidi ya Dakika moja tena kinafiki. Ni dhahiri kuwa mwisho wa siku Wafuasi wa Marcom X wataamua kuachana na Martin Jr na kila upande kuendelea na mapambano yake kwa kufuata imani yao ya kimkakati. Ni dhahiri kuwa MALCOM X na MARTIN Jr ni wanafiki wakati ambao unafiki si tija tena hivyo harakati na siasa zao hazitafika 2025 kabla hawaja parulana na kuachana.

Moral of the Martin Jr Vs Malcom X movements:

Huwezi kuwa na "ideology" mbili zinazolenga kufikia lengo moja zikachanganywa na zote zikafanikiwa kwa wakati mmoja. CHADEMA sipojipambanua sasa, 2025 itakuwa ni vyama viwili visivyo na tija yoyote.
Naamini chama kama chama kina imani moja.
Bali kuna tofauti za kimtizamo kwa watu binafsi.
Kwa kuwa hakuna hadidu rejea za maridhiano na mda wa utekelezaji ni wazi kwamba jambo hili linaweza kutupwa saa yeyote ile kwa sababu ya dhamira.
Hivyo ni vyema kuwe na watu kama Lissu kukumbushia dhamira ya hawa watu hasa wale walioshikilia mpini kwamba kuna njia mbadala kama wataufanya mpango wa maridhiano kuwa mtego kwa walioshikilia makali.
 
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me

Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,

Martin Luther King Jr, aliwahi kukutana na Malcom X mara moja tu katika kipindi cha maisha yao, mwaka 1964 Machi 26, na mkutano wao ulidumu kwa dakika moja (One minute meeting).

Sasa, unaweza kujiuliza kwanini hawa nguli wa haki za Raia weusi kwanza walikutana mara moja tu, pili, hawakuweza kujadili chochote muda mrefu, Tatu, ingawa walikuwa na "common agenda" hawakuwahi kukubaliana namna ya kufikia malengo mpaka wanakufa, mwisho, hawakuwahi kujiunga pamoja.

Kimsingi Martin aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao ni njia sahihi ya kufikia malengo ya kumkomboa mtu mweusi, wakati Malcom X aliamini majadiliano na mazungumzo na watesi wao yanapoteza muda mrefu na kuongeza maumivu kwa watu weusi, hivyo njia sahihi ni kudai haki yao kwa kuwakabili watesi wao na wenye madaraka kwa nguvu ileile wanayotumia kuwakandamiza (offensive and active attacks). Tofauti hii haikuwahi kuwa "reconciled" na ndo msingi mkuu wa kutoelewana na kutoshirikiana kati yao.

Lissu na Mbowe:
Hatari kubwa iliyopo kwa sasa ndani ya chadema ni Lisu na Mbowe kuliko hata CCM na washirika wake. Mbowe alipoanza mazungumzo ya Siri ya Muafaka/Maridhiano hakuna aliyemuelewa ndani ya chama. Ikafikia viongozi wenzie kumshutumu kuwa kalamba Asali. Baada ya kujieleza sana katika mkutano wa kule Marekani na pia Mwanza (alleged drunk), lakini pia baada ya CCM na serikali kutoka na kutangaza matokeo machache ya maridhiano , baadhi ya viongozi wakamuelewa au wakavunga kumuelewa.

Hata ivyo walliovunga kumuelwa sasa hawamuelewi kabisaa, wamemgeuka na wanambeza majukwaani kama Malcom X alivyokuwa akimbeza Martin Luther King Jr. Siku zote Malcom X alikuwa akimbeza sana Martin majukwaani.

LISSU akiwa kiongozi wa juu kabisa, anasema ni ujinga kushiriki majadiriano na maridhiano, yeye na washirika wake wanasema subira na mijadara inawachelewesha kufikia Malengo, wanasema hawataki muafaka kesho wanautaka leo. Wanasema majadiliano ni asali na hayatakuwa na Tija yoyote kwani yanalenga kuwanyima haki ya kuchukua madaraka 2025. Wanataka kila kitu kifanyike sasa kabla ya Uchaguzi

HATARI:
Mpaka sasa hakuna asiyafahamu kuwa Mlengo wa Martin Jr ulifanikiwa kufikia malengo ingawa kwa kuchelewa. Lakini pia hakuna asiyefahamu kuwa mafanikio haya yalikuja kwa sababu upande wa Martin Jr walikuwa wamoja na wenye imani thabiti na propaganda yao na kuheshimu muafaka wa amani na majadiriano. Hawakuwahi kujichanganya na upande wa Pili.

Kwa muktadha huu wa LISU na hotuba zake katika mikutano ya hivi karibuni ni dhahiri CHADEMA hawana makubariano ya pamoja ya nini wanahitaji kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Malcom X na Martin Jr wako katika chama kimoja kwa sasa. Ni dhahiri kuwa Marcom X na Martin Jr wanafanya vikao zaidi ya Dakika moja tena kinafiki. Ni dhahiri kuwa mwisho wa siku Wafuasi wa Marcom X wataamua kuachana na Martin Jr na kila upande kuendelea na mapambano yake kwa kufuata imani yao ya kimkakati. Ni dhahiri kuwa MALCOM X na MARTIN Jr ni wanafiki wakati ambao unafiki si tija tena hivyo harakati na siasa zao hazitafika 2025 kabla hawaja parulana na kuachana.

Moral of the Martin Jr Vs Malcom X movements:

Huwezi kuwa na "ideology" mbili zinazolenga kufikia lengo moja zikachanganywa na zote zikafanikiwa kwa wakati mmoja. CHADEMA sipojipambanua sasa, 2025 itakuwa ni vyama viwili visivyo na tija yoyote.
Namba yako ya simu tafadhali
 
unataka kuniteka mkuu
 
Back
Top Bottom