Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Baada ya kushuhudia upendeleo kwa watoto wa kike wanaochaguliwa kuingia kidato cha tano, imenilazimu kutoa angalizo. Kama nchi...
Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu:
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya...
Leo palikuwa na Bunge la wananchi lililoendeshwa na Mwenyekiti wa CDM Freeman Aikaeli Mbowe Kigoma na kikao kingine kiliendeshwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kukusanya kero za wananchi katika...
Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja...
Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe...
Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amepokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia...
Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa...
Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba.
Ndugai alikuwa ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa Ikulu Chamuriho naye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino...
OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE
PRESS CONFERENCE
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE '
MUDA: Saa 5 Asubuhi.
MAHALI: OFISI YA MKUU...
Kama mwezi huu nilikwenda Bujumbura, nilipofika Manyovu nikashangaa hakuna mfumo wa uhamiaji kama ukipita uwanja wa ndege au Tunduma. Nikaangalia namna wale maafisa wanavyofanya kazi, nikajiuliza...
MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na...
MBUNGE COSATO CHUMI - TUWAWEZESHE JKT HATUTAAGIZA TENA MAFUTA YA KUPIKIA
Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA
Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga...
Katika bajeti ya mwaka huu Serikali imetenge Shilingi bilioni 500 ambazo kupitia mradi wa Gridi Imara itajenga vituo vya kupooza umeme katika maeneo 13. nchini.
"Kwenye maeneo yenye shida zaidi...
Naweka tu kumbukumbu Sawa maana wapo wanaodhani TRA iliasisiwa na Rais wa awamu ya 3 hayati Mkapa
Kuna mambo mengi ya kijasiri yalifanywa na Serikali ya awamu ya 2 lakini yule mzee wetu Mwinyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.