Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mercy Mengi na kadhia ya wenza wa matajiri Na Ezekiel Kamwaga KUNA msemo mmoja mashuhuri wa wahenga wetu kwamba kwenye mafanikio ya mwanamume, kuna mwanamke pembeni yake. Kama kuna mahali msemo...
65 Reactions
189 Replies
17K Views
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo kapotezwa kabisa katika ramani ya Siasa baada ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kuingia kwenye Maridhiano na CCM Kwa sasa ACT Wazalendo wako Pemba tu na jana...
1 Reactions
2 Replies
584 Views
SHAMBULIO kwa UHURU wa Mahakama. MAHAKAMA iachwe HURU, isiingiliwe na kupewa MAELEKEZO na serikali. RAIA wanayo HAKI ya kushinda kesi dhidi ya serikali. SIYO LAZIMA serikali kushinda kesi. Mkuu wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote...
3 Reactions
86 Replies
4K Views
Leo kama ni ngumi basi Makamba Jr amepigwa KO na Mzee wa East Africa, Yoweri Museveni mbele ya Samia na jopo lake pale Uganda kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme. Mzee Museveni ametamka mara nyingi...
34 Reactions
136 Replies
8K Views
Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Natoa tu angalizo kwa chama changu CCM Sekretarieti ni lazima iwe makini wakati Huu Tundu Antipas Lisu wa Chadema anapozunguka Tanzania nzima kuwaamsha Wananchi Jumaa kareem!
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa...
1 Reactions
65 Replies
3K Views
Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya...
25 Reactions
196 Replies
19K Views
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi? Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru...
19 Reactions
85 Replies
4K Views
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya...
34 Reactions
86 Replies
11K Views
Mashirika yote yaliyo chini ya Serikali, hakuna hata moja lenye ufanisi wa hali ya juu. LAKINI kwa uhakika hata katika huo ubovu, naamini TANESCO ndiyo shirika linaloongoza kwa uzembe, ubovu...
14 Reactions
63 Replies
4K Views
Wasomi na viongozi wa Tanzania wakati wao wakichagua kukaa kimya juu ya mambo mengi mazuri ya Pombe Magufuli yanayohusu uongozi wake, wakati wao wakiruhusu watu wajinga kuendelea kuuchafua...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania poleni na majukumu na maumivu yaliyotawala miyoyoni mwenu takribani miaka 62 tangu nchi hii kupata uhuru. Ndugu zangu msingi imara ndiyo huweka uimara wa nyumba inayojenda...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023. Akiwa Italia Mhe...
2 Reactions
3 Replies
778 Views
MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI "Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini Mradi huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MBUNGE DUNSTAN KITANDULA - HEKIMA ZA VIONGOZI WETU ZILITUMIKA DHIDI YA MGOGORO "Naiomba serikali yangu itusikie, walisaini document ya makubaliano lakini baada ya makubaliano hayo Bado kumekuwa...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Back
Top Bottom