Familia msitafute wa kumuangushia jumba bovu, Membe aliasisi kilichomgeuka mwenyewe!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,550
11,879

Nimesikiliza hizi clips mbili,Sound clip pamoja na video clip ya Mwanafamilia!

Kwa kutaka kulianzisha mnalolitaka!Ni wazi kuna ka asili ka visasi ndani ya ukoo ,na nimekuja na tafsiri moja tu!
Kwamba anatafutwa Musiba mwingine wa kuamgushiwa jumba bovu!

Kubalianeni na kazi au maamuzi ya Muumba wa mbingu na Ardhi,kila nafsi hapa Duniani itapitia mauti.

Kumbukeni Kama ilivyotokea kwa Huyo mpendwa wenu,ndivyo pia ilivyotokea kwa mpendwa wetu!
Na hata sasa vidonda bado vibichi kwa watanzania wengi sana.

Tena kwa huyu mpendwa wetu tuliambiwa na kuaminishwa kwamba yuko salama na anachapa kazi kama kawaida!
Tena tukatangaziwa kutoka ziarani Tanga!
Lakini kilichofuatia ni historia!

Mpaka leo watanzania hawajui ni nini hasa kilitokea!
Na familia ziko kimya pamoja na sintofahamu hizo!

Waliosema hayo ndio hao ambao leo wako maofisini wakiendelea na wanachokijua wao!

Sasa kutaka kuanza kumsakama Daktari huyo,ni sawa na kuanzisha ka-mfumo ambako na sisi tutakatumia ili tuambiwe ni nini kilitokea na kwa nini watanzania walifichwa huu ukweli!

Wale mlioshikiwa akili....Nimewakilisha hizo clips,ili mzitumie kujitakari na kuelewa ninaongea nini!

Mpishi wa Fitna,muanzilishi wa visasi ndie Mungu akamuanzishia mfano halisi!

Na ninaikumbuka ile kauli ya kwamba "Mungu Kaamua Ugomvi"
Ilitolewa huko huko Rondo!

Pia ile kauli "Hatasimama tena"
Pia ilitolewa na kundi hilo hilo!

Na ule Moshi kwenye Msafara ulianzia huko huko!
 
Kwa mujibu wa Ansbert Ngurumo daktari yule hajulikani na aliibuka msibani ni kama kuzima hisia na fikra za kujua marehemu amaepatwa na nini kufariki. Daktari yule ni mtu asiyejulikana au makirikiri na alikuja kuongea na media kuleta spining tuu. Kapewa siku 7 ajitokeze na aongee dhamira yake ni nini.
 
Uliposema hiyo familia wana ka asili cha visasi naona umeenda mbali sana, japo kimsingi naona kama wao wameamua kutoka nje na kuzungumza yaliyomhusu marehemu wao, tofauti na familia ya Magufuli iliyoamua kukaa kimya kuacha yote yapite, inawezekana ndio maana yule mama anazidi kuongezeka siku hizi.

Huyo daktari kama wanataka kusema alitengenezwa, basi watuambie alitengenezwa na nani ikiwa wao ndio wako kwenye system, kwangu mtu kuamua kuwa na daktari wake binafsi ni suala binafsi, sioni kama kuna haja ya kuwaelezea ukoo wote wajue, kama wanaamini kuna mchezo wauseme, wanasheria wanasema he who alledges must prove.
 
Kwani Daktari wa Kairuki yeye alisema nini?
Hata Daktari wa JPM alisema nini?
Je!
Siku saba za daktari zitabadili kilichotokea?

Je!
Huyu mhuni Ansbert Ngurumo,yeye ni msemaji wa familia?

Hili kundi visasi ndioinaitafuna nchi kwa sasa!

Ndio maana nasema anatafutwa mtu wa kungushiwa jumba bovu,na hili ni tatizo kuu kwa hiyo familia.
 
Uliposema hiyo familia wana ka asili cha visasi naona umeenda mbali sana, japo kimsingi naona kama wao wameamua kutoka nje na kuzungumza yaliyomhusu marehemu wao, tofauti na familia ya Magufuli iliyoamua kukaa kimya kuacha yote yapite, inawezekana ndio maana yule mama anazidi kuongezeka siku hizi.

Huyo daktari kama wanataka kusema alitengenezwa, basi watuambie alitengenezwa na nani ikiwa wao ndio wako kwenye system, kwangu mtu kuamua kuwa na daktari wake binafsi ni suala binafsi, sioni kama kuna haja ya kuwaelezea ukoo wote wajue, kama wanaamini kuna mchezo wauseme, wanasheria wanasema he who alledges must prove.
Mimi nimesemq hivyo kwa sababu huyu mwanafamilia ametumia ushauri wa Ansbert Ngurumo
anayechochea mambo akiwa na lengo lake mfukoni na moyoni.
 
Kesi ni Nyingi sana.
271006e7b17a305f681bd45ddf4bd4a4.jpg

Visasi huwa vinamalizwa nyuma ya gati hilo.
 
Kwa mujibu wa Ansbert Ngurumo daktari yule hajulikani na aliibuka msibani ni kama kuzima hisia na fikra za kujua marehemu amaepatwa na nini kufariki. Daktari yule ni mtu asiyejulikana au makirikiri na alikuja kuongea na media kuleta spining tuu. Kapewa siku 7 ajitokeze na aongee dhamira yake ni nini.
Pigeni radi tuu huyo asambaratike mnamzungusha sana wa nini?
Harafu Mke wa Membe vipi mbona Yuko kimya?

Na Ile hospital ya Kairuki Kwa nini inatumika kufanya uhuni kiasi hiki?
 
Nimesikiliza hizi clips mbili,Sound clip pamoja na video clip ya Mwanafamilia!

Kwa kutaka kulianzisha mnalolitaka!Ni wazi kuna ka asili ka visasi ndani ya ukoo ,na nimekuja na tafsiri moja tu!
Kwamba anatafutwa Musiba mwingine wa kuamgushiwa jumba bovu!

Kubalianeni na kazi au maamuzi ya Muumba wa mbingu na Ardhi,kila nafsi hapa Duniani itapitia mauti.

Kumbukeni Kama ilivyotokea kwa Huyo mpendwa wenu,ndivyo pia ilivyotokea kwa mpendwa wetu!
Na hata sasa vidonda bado vibichi kwa watanzania wengi sana.

Tena kwa huyu mpendwa wetu tuliambiwa na kuaminishwa kwamba yuko salama na anachapa kazi kama kawaida!
Tena tukatangaziwa kutoka ziarani Tanga!
Lakini kilichofuatia ni historia!

Mpaka leo watanzania hawajui ni nini hasa kilitokea!
Na familia ziko kimya pamoja na sintofahamu hizo!

Waliosema hayo ndio hao ambao leo wako maofisini wakiendelea na wanachokijua wao!

Sasa kutaka kuanza kumsakama Daktari huyo,ni sawa na kuanzisha ka-mfumo ambako na sisi tutakatumia ili tuambiwe ni nini kilitokea na kwa nini watanzania walifichwa huu ukweli!

Wale mlioshikiwa akili....Nimewakilisha hizo clips,ili mzitumie kujitakari na kuelewa ninaongea nini!

Mpishi wa Fitna,muanzilishi wa visasi ndie Mungu akamuanzishia mfano halisi!

Na ninaikumbuka ile kauli ya kwamba "Mungu Kaamua Ugomvi"
Ilitolewa huko huko Rondo!

Pia ile kauli "Hatasimama tena"
Pia ilitolewa na kundi hilo hilo!

Na ule Moshi kwenye Msafara ulianzia huko huko!

Tena waliobaki ni vitumbili tu vitaanguka haraka yetu macho
 
Mbona.kama dishi huyu nae linayumba mara familia wa doctor ,mara stone kidney .
Pia mimi nimemchukulia kama mtu aliechanganywa na Msiba huo kwa kiasi kikubwa,Yeye mwenyewe amekiri kuwa Marehemu alikuwa ndio kila kitu kwenye Maisha yake!
Sasa ni kama mshumaa umemzimikia na kumuacha njiapanda!
 
Mleta mada umetumwa, jiangalie. Familia nawaongezea hojaji. Ahojiwe pia Mwandishi Bollen Ngetti. Huyu alikuwa na Marehemu siku 3 kabla ya kifo chake, anasemaje?
Mnaomsema Magufuli huwa mmetumwa na nani?
Acha ujinga wa kitisha watu kuusema ukweli!
What goes around also comes around!
Nimeweka hizo clip,kama huna bundle acha kuchangia ujinga wako humu!
 
Back
Top Bottom