2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,302
Reaction score
9,809
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
 
We nenda tu bwana CCM ITABAKI MILELE.... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI 💪
Nitaipa Kura CCM 2025, narudia tena kura yangu na ndugu zangu ni kwa CCM.
Nami nakuunga mkono... kura yangu Mimi na familia yangu nikwa chama Cha MAPINDUZI.
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.
Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.
Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?
Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.
Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.
Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.
Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Uzao wa panya siyo poa..
1684912135161.png
 
Kuna Kila dalili uchaguzi ujao tukapiga kura za WAZI viwanjani ikiwa SANDUKU la kura halitarudisha na kuheshimiwa.

Tusubiri.
 
We nenda tu bwana CCM ITABAKI MILELE.... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI [emoji123]
Nitaipa Kura CCM 2025, narudia tena kura yangu na ndugu zangu ni kwa CCM.
Miaka 15 nyuma nilikuwa kama wewe
We Baki na hizo buku mbili za Lumumba CCM ya saivi ni wezi na waizi
 
Hapa tunataka tume huru mimi Niko CCM Miaka zaidi ya 15 nawajua CCM no Bora Maandazi
Umetumia same gear Kwa miaka 15 hawataki kubadilika,

Change GEAR, tumia 4 wheel, HAKIKA tutatoka kwenye mkwamo.

Mwisho wa CCCM umewadia na ni sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom