Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA. Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
02 November 2022 TAARIFA YA MBUNGE WA NGARA NDAISABA RUHORO KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAWASILIANO KATIKA KATA 9 Akizungumza na Ngara TV, mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
MBUNGE STELLA IKUPA AITAKA SERIKALI KUSIMAMIA KANUNI YA KUPATA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Stella Ikupa Alex Bungeni jijini Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro (CCM) alisema vijana wanaohitimu vyuo vya elimu ya juu, hawataki kulima, kushika kinyesi cha ng’ombe au cha kuku. “Vijana hao wanapoona zizi na ng’ombe na kinyesi...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
SANGA AHOJI UPI MKAKATI WA SERIKALI KUTUMIA SETILITE NA KUACHANA NA MINARA YA SIMU Kila Mbunge akisimama tunaomba Minara ya Simu Majimboni kwetu, Je, Upi Mkakati wa Serikali kuachana na Minara na...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
- The foundations of the constitution, point number two states that: and whereas those principles can only be realised in a democratic society in which the executive is accountable to the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni...
4 Reactions
70 Replies
3K Views
Katika historia ya Tanzania na utumishi wa Umma hakujawahi kuwa na wafanyakazi wawili wala rushwa kama waziri January Makamba na Mkurugenzi wa TANESCO bwana Maharage Chande. Ukiachilia mbali...
23 Reactions
89 Replies
8K Views
Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia. Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS...
21 Reactions
143 Replies
12K Views
Unatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametangaza kuitisha Mkutano na Viongozi wa dini wenye ajenda moja tu , iliyotajwa kuwa ni KUMTOKOMEZA ADUI , ili Rais Samia Apenye bila Kupingwa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanabodi habari za siku Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais. Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Vyama vya Siasa nchini havina Itikadi ndio sababu Wanachama wao wanahamahama kila siku Fikiria mzee Lowassa alitokea CCM kwenda Chadema kwa lengo la kugombea Urais wa JMT tu tena Mgombea mwenza...
3 Reactions
6 Replies
752 Views
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo. Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge. Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake! Sasa Ngabu...
32 Reactions
64 Replies
7K Views
Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…