Upi Mkakati wa Serikali kuachana na Minara na kuamua kutumia Setilite

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,909
946
SANGA AHOJI UPI MKAKATI WA SERIKALI KUTUMIA SETILITE NA KUACHANA NA MINARA YA SIMU

Kila Mbunge akisimama tunaomba Minara ya Simu Majimboni kwetu, Je, Upi Mkakati wa Serikali kuachana na Minara na kuamua kutumia Setilite ili kila eneo (Mlima na Bonde) Mawasiliano yapatikane kwa uhakika hapa nchini?


 
Back
Top Bottom