Samson Kwayu
Member
- Jun 9, 2022
- 18
- 90
Katika historia ya Tanzania na utumishi wa Umma hakujawahi kuwa na wafanyakazi wawili wala rushwa kama waziri January Makamba na Mkurugenzi wa TANESCO bwana Maharage Chande.
Ukiachilia mbali mambo aliyoyasema CAG kwenye ripoti yake na madudu yakiyofanywa na wawili hawa, tumeshuhudia mwishoni mwa wiki hii wakiandika historia ya kugawa rushwa kubwa sana bungeni ili bajeti yao ipite na wasihojiwe kwa lolote japo wizara yao na TANESCO ina matatizo lukuki.
Tumeshuhudia;
1. Wabunge wakihongwa mitungi ya gesi ambayo inafikia jumla ya 1.5bn TZS
2. Semina mbili (tanesco na EWURA) za kulaghai wabunge siku moja kabla ya bajeti imegharimu 180m TZS
3. Rushwa aliyopewa Deo Mwanyika kugawia wabunge wiki 3 kabla ya kusomwa bajeti 750m TZS
Tunajiuliza watu hawa wanatoa wapi fedha za kufanya mambo magumu kiasi hiki? Wanawezaje kufanya rushwa waziwazi hivi bila kuogopa?
Kwa mshangao mkubwa sana spika alijitutumua kuwatetea na kisema fedha hiyo iko kwenye bajeti lakini kiukweli hela hiyo haipo na fungu hilo hakijawahi kufanyiwa bajeti mwaka jana. Spika amedanganya waziwazi.
Pia tumeshuhudia idadi ndogo ya wabunge wakiohudhuria mjadala na kupitishwa kwa bajeti ile. Tunadokezwa kuwa hata jioni siku ya kuipitisha akidi haikutimia lakini spika akaipitisha kwa nguvu.
Sawa tunajua wana ma god father ndani ya chama na wanawahakikishia kuwa matendo yao hayana athari. Je? Hayana athari kwa wananchi? Inawezekana ndani ya CCM hayana athari kwa kuwa hii ndiyo tabia yao kichama lakini yana athari kubwa sana kwa watanzania.
Lakini tunajua na kufahamu kuna mtu ndani ya CCM anapelekewa hii migao ndiyo maana wawili hawa hawana cha kuogopa kwa kuwa wanatoa gawio kwenye rushwa wanazozipokea.
Kuna makosa CCM iliyafanya makubwa sana kurudisha baadhi ya watu waliofukuzwa na kuondolewa kwenye hiki chama kwa kuwa wao wanawaza wizi tu na kufidia muda wakiopoteza walipofukuzwa.
Hatutanyamaza wala kuogopa kusema kwa kuwa tunataka watanzania wajue watu walioko kwenye utumishi wa umma na madudu ya rushwa wanayotafanya ili ikifika siku ya uchaguzi waamue kwa busara kwa kuwa sisi tumetimiza wajibu wetu wa kuwaambia ukweli.