Msajili wa Vyama Vya Siasa Jaji Mutungi anesema mchakato wa Katiba mpya hautatekwa na Wanasiasa
Mutungi amesema Vyama Vya Siasa ni Sehemu tu ya Jami ya Watanzania hivyo mchakato utabalansisha...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa siku 10 kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kufika Kijiji cha Uhambingeto...
MBUNGE ABDALLAH CHIKOTA ATAKA USHIRIKISHWAJI MRADI WA GESI ASILIA WA LNG
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Abdallah Chikota ametaka watu wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kushirikishwa katika mradi wa...
Mh Chongolo akihutubia Iringa Mjini kwenye viwanja Maarufu vya Mwembetogwa kwenye Mkutano Kabambe , Amesisitiza kwamba Wazazi wa Iringa ni lazima wahakikishe mtoto wa kike anapelekwa shule badala...
Taarifa kutokea wizarani pale Uchukuzi zinasema Viongozi Wakuu wa Vyama Vya Siasa wamealikwa katika Sherehe za Mapokezi ya Ndege ya kwanza ya Mizigo Boeing 767-300F
Miongoni mwa Wanasiasa maarufu...
ACT Wazalendo kupitia msemaji wake wa Wizara ya Nishati imeitaka serikali kuipa Wizara ya Nishati Fedha zote zilizoidhinishwa na Bunge
Isihaka Mchinjita ametoka mfano wa mwaka wa Fedha 2021/22...
Salaam wakuu,
Niende kwenye mada moja kwa moja. Siasa imepenya kila mahali. Hadi kwenye mimbari na madhabahu za makanisa siasa zimefika. Vyama vya wafanyakazi ni moja ya taasisi ambazo CCM, kwa...
"Systemic problems requires systemic solutions"
Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na...
Zanzibar ni nchi na ni Sehemu ya Tanzania
Zanzibar siyo Mkoa wala Wilaya ni " Sehemu"
Unapoitaja Tanzania maana yake umeitaja na Zanzibar
Lakini unapoitaja Zanzibar hujaitaja Tanzania bali...
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa...
Unakuta Zitto Kabwe anatua kwa Chopa anapokelewa kwa Salute za polisi halafu anaenda kuwafundisha Wananchi Mafukara namna ya kudai Katiba mpya
Hapo Zitto analipwa Posho yeye na Walinzi wake na...
Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa.
Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika...
Kuna Clip ina trend ikimuonyesha Mkurugunzi wa Mawasiliano Ikulu , Zanzibar, ndugu Charles Hillary akitoa kauli ya onyo kwa wale aliowaita wavamizi wa eneo la hekari 6,000 mali ya SMZ huko...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya...
Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima...
Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa kodi ya majengo kwa njia ya ununuzi wa umeme ambayo itaanza kutumika Agosti 20, 2021 inatakiwa kulipwa na wamiliki wa majengo na sio wapangaji kwenye...
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa.
Ni katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.