Kwanini Vyama vya Siasa Tanzania havina Itikadi na Katiba zao zinakaribia kufanana?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Vyama vya Siasa nchini havina Itikadi ndio sababu Wanachama wao wanahamahama kila siku

Fikiria mzee Lowassa alitokea CCM kwenda Chadema kwa lengo la kugombea Urais wa JMT tu tena Mgombea mwenza akaenda kumchukua CUF

Nakumbuka mchungaji Mtikila alijiunga Chadema kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Ludewa alivyoshindwa karudi DP

Hivi sasa Komredi Chongolo na Zito Kabwe wanazoa Wanachama wa Chadema huko mikoani na Muda si mrefu akienda Tundu Lisu watu hao hao wanarudi Chadema

Tanzania tuna Siasa za Njaa Sana!
 
Tatizo liko wapi? Kwa vinchi vyetu vya kishenzi hasa Tanzania ya çcm uchwara na udikiteita, unafanya lolote lililo ndani ya sheria kufanikiaha madhumuni ya chama chako, even if borrowing people from other sources who can atract would be members for a certain goal to be achieved
 
Basi bwashee 😄😄

Nyerere aliiweza Sana hii jamii!
 
Vyama vya Siasa nchini havina Itikadi ndio sababu Wanachama wao wanahamahama kila siku

Fikiria mzee Lowassa alitokea CCM kwenda Chadema kwa lengo la kugombea Urais wa JMT tu tena Mgombea mwenza akaenda kumchukua CUF

Nakumbuka mchungaji Mtikila alijiunga Chadema kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Ludewa alivyoshindwa karudi DP

Hivi sasa Komredi Chongolo na Zito Kabwe wanazoa Wanachama wa Chadema huko mikoani na Muda si mrefu akienda Tundu Lisu watu hao hao wanarudi Chadema

Tanzania tuna Siasa za Njaa Sana!
Huo mchezo uko hata madhehebu ya dini, hivyo wananchi wenyewe ndio wajinga.
 
Back
Top Bottom