Kumbe ushamba bado unaendelea…

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,645
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.

Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.

Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!

Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?

Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.

Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.

Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.

Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
 
Tatizo lilikua Magufuli. Shida ilikua ni Magufuli.

Magufuli alizibia wanaojiita wastaarabu/walamba asali ulaji hivyoikawa ni kumtukana kadri wawezavyo kwa kila alilokua analifanya.
Dah!

Basi mi nilidhani mshamba alikuwa yeye tu kwa vile alikuwa ni ‘Msukuma’.

Kumbe wala ‘Usukuma’ wake ulikuwa hauhusiani na chochote..
 
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.

Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.

Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!

Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?

Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.

Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.

Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.

Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Sorry umeongea nn mbona kama umbea tu hamna vina wala nukta...
 
Chiki hazikusaidii unajazo sumu moyoni bila sababu
 
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia .

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
magufuli aliziba mianya ya wahuni. waakaanza kumuita jina baya kwa sauti ili wamuue. nakweli wakafanikiwa. ila. damu yake. nambegu aloipanda kwa watanzania itamea hatumaye itaota mizizi ipo siku ambayo Haina jina. atatokeaa zaidi ya magufuli. nchi itasonga
 
Naunga mkono hoja. Sioni sababu ya mwananchi wa Katavi kufunga mtaa kwa sherehe kisa eti kanunua bodaboda

Huu ushamba muasisi wake ni jiwe. Alaaniwe huko aliko.
 
Back
Top Bottom