BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 701
- 1,524
Unatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume kama kawaida tena unajiibia [emoji38]. Hii kitaalamu tuiiteje?
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.