Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,562
10,883
- 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ).

- Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera.

- Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12 kati ya Mikoa 21 nchini kwa hali ya Uchumi, Mwaka 2022 inashika nafasi ya 26 kati ya Mikoa 26, yaani Ndio Mkoa masikini zaidi nchini.

Iweje Mkoa wa Kagera uwe masikini zaidi? Ni Mkoa wenye ardhi iliyopandwa kahawa kuliko Mkoa wowote nchini, ni Mkoa wenye utajiri mkubwa wa ardhi na hali ya hewa, ni Mkoa uliokaa kimkakati kijiografia ( unapakana na Nchi nyingi zaidi za Afrika Mashariki kuliko Mkoa mwengine wowote), una rasilimali madini kama Nickel na una wasomi wengi zaidi kuliko mikoa mingi ya Tanzania! Kwanini uwe Mkoa masikini zaidi?

Kuna sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

1. Uchumi wa mkoa huo unategemea sana kilimo ambacho kinategemea mvua. Hivyo, ukame au mvua zinazopungua zinaweza kusababisha upungufu wa chakula na mapato kwa wakazi wa mkoa huo. Hii pia inasababishwa na sera zilizopitwa na wakati kuhusu masoko ya mazao ya Kilimo na haswa kahawa kiasi cha wakazi wa Kagera kupeleka kahawa Uganda.

2. Miundombinu ya barabara na reli katika mkoa huo ni duni, hivyo kufanya usafirishaji wa mazao na bidhaa kuwa mgumu na gharama kuwa kubwa. Licha ya kuwa Mkoa huu uliathiriwa sana na vita vya Kagera hapakuwa na mpango Maalumu wa kuhuisha Uchumi wa Kagera baada ya vita na Ndio maana kumekuwa na mdororo wa Uchumi wa Mkoa huu.

3. Elimu na afya ni changamoto kubwa katika mkoa huo. Huduma za afya na elimu zinapatikana kwa kiwango kidogo, hivyo kusababisha wakazi wa mkoa huo kuwa na ugumu wa kupata huduma hizo.

4. Kagera ilipata athari kubwa ya tetemeko la ardhi mwaka 2016 ambapo nyumba nyingi na miundombinu iliharibiwa na kusababisha hasara kubwa kwa wananchi na uchumi wa mkoa huo.

5. Sera mbovu za Serikali ya CCM ambazo hazizingatii muktadha wa kimaeneo katika shughuli za Uchumi. Kwa Mfano Mfumo wetu wa utawala wa Viongozi ‘kuletwa’ kutoka Juu unaondoa ubunifu na uwajibikaji hivyo mikoa kutotumia fursa zao kwa ukamilifu na kukosekana ushindani wa mikoa kimaendeleo.

Chama cha ACT Wazalendo kinadhamiria kurejesha heshima ya Mkoa wa Kagera kwa kuugeuza kuwa Kituo cha Biashara na Viwanda kwa Nchi za EAC. Vile vile kushawishi Mradi wa Kabanga Nickel kufungamanishwa na shughuli za Uchumi za Watu wa Kagera.
 
Waha wenzako ni maskini wa kutupa huko Kigoma . Wanakimbilia mjini kuwa wamachinga
 
Kaanze na kigoma kwanza
 
Uzi wako ungepaswa kusomeka, 'kwa nini Kagera ni Mkoa maskini zaidi?'

Hujaeleza bayana ni kwa namna gani Kagera inaweza kufanywa kama kituo cha biashara Afrika ya Mashariki.

Na pengine ungejikita katika kutoa ushauri ni kwa namna gani serikali (CCM) inapaswa kufanya ili kuwezesha hilo. Kusema ACT itafanya hivyo, ni kichekesho. Si leo wala kesho, dola itakuwa chini yenu.
 
kwenye suala la elimu kuna shule bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania hapo Kagera kama st peter claver, Kemebos, Kaizirege, Bishop Caesar na zingine nyingi
 
Unangeweka pia ushauri /mikakati gani Serikali ichukue ili Mkoa wa Kagera uinuke kiuchumi na pato la Wananchi wake liongezeke.

Athari za kiuchumi zinapotokea katika Mkoa Mmoja huathiri na Mikoa mwingine au Taifa kwa ujumla.

Ni vema ungejielekeza kwenye mikakati zaidi.
Kusema ACT ichukue dola ndo ifanyike intervention sio sawa.
 
Zitto ameweka Maada ngumu, alipaswa kuweka Maada zile pendwa, Watanzania kwenye Maada za Uchumi hutawaona kabida wewe wawekee za kusutana, uzushi uone wanacyo tiririka, Hizi ni Maada ngumu wataishia kufanya Personer attack pekee
 
Unangeweka pia ushauri /mikakati gani Serikali ichukue ili Mkoa wa Kagera uinuke kiuchumi na pato la Wananchi wake liongezeke.

Athari za kiuchumi zinapotokea katika Mkoa Mmoja huathiri na Mikoa mwingine au Taifa kwa ujumla.

Ni vema ungejielekeza kwenye mikakati zaidi.
Kusema ACT ichukue dola ndo ifanyike intervention sio sawa.
Ushauri ni CCM watoke madarakani, Miaka 60 wanataka ushauro gani ten?
 
- 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ).

- Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera.

- Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12 kati ya Mikoa 21 nchini kwa hali ya Uchumi, Mwaka 2022 inashika nafasi ya 26 kati ya Mikoa 26, yaani Ndio Mkoa masikini zaidi nchini.

Iweje Mkoa wa Kagera uwe masikini zaidi? Ni Mkoa wenye ardhi iliyopandwa kahawa kuliko Mkoa wowote nchini, ni Mkoa wenye utajiri mkubwa wa ardhi na hali ya hewa, ni Mkoa uliokaa kimkakati kijiografia ( unapakana na Nchi nyingi zaidi za Afrika Mashariki kuliko Mkoa mwengine wowote), una rasilimali madini kama Nickel na una wasomi wengi zaidi kuliko mikoa mingi ya Tanzania! Kwanini uwe Mkoa masikini zaidi?

Kuna sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

1. Uchumi wa mkoa huo unategemea sana kilimo ambacho kinategemea mvua. Hivyo, ukame au mvua zinazopungua zinaweza kusababisha upungufu wa chakula na mapato kwa wakazi wa mkoa huo. Hii pia inasababishwa na sera zilizopitwa na wakati kuhusu masoko ya mazao ya Kilimo na haswa kahawa kiasi cha wakazi wa Kagera kupeleka kahawa Uganda.

2. Miundombinu ya barabara na reli katika mkoa huo ni duni, hivyo kufanya usafirishaji wa mazao na bidhaa kuwa mgumu na gharama kuwa kubwa. Licha ya kuwa Mkoa huu uliathiriwa sana na vita vya Kagera hapakuwa na mpango Maalumu wa kuhuisha Uchumi wa Kagera baada ya vita na Ndio maana kumekuwa na mdororo wa Uchumi wa Mkoa huu.

3. Elimu na afya ni changamoto kubwa katika mkoa huo. Huduma za afya na elimu zinapatikana kwa kiwango kidogo, hivyo kusababisha wakazi wa mkoa huo kuwa na ugumu wa kupata huduma hizo.

4. Kagera ilipata athari kubwa ya tetemeko la ardhi mwaka 2016 ambapo nyumba nyingi na miundombinu iliharibiwa na kusababisha hasara kubwa kwa wananchi na uchumi wa mkoa huo.

5. Sera mbovu za Serikali ya CCM ambazo hazizingatii muktadha wa kimaeneo katika shughuli za Uchumi. Kwa Mfano Mfumo wetu wa utawala wa Viongozi ‘kuletwa’ kutoka Juu unaondoa ubunifu na uwajibikaji hivyo mikoa kutotumia fursa zao kwa ukamilifu na kukosekana ushindani wa mikoa kimaendeleo.

Chama cha ACT Wazalendo kinadhamiria kurejesha heshima ya Mkoa wa Kagera kwa kuugeuza kuwa Kituo cha Biashara na Viwanda kwa Nchi za EAC. Vile vile kushawishi Mradi wa Kabanga Nickel kufungamanishwa na shughuli za Uchumi za Watu wa Kagera.
Asante kaka ZZK
 
Uzi wako ungepaswa kusomeka, 'kwa nini Kagera ni Mkoq maskini zaidi?'

Hujaeleza bayana ni kwa namna gani Kagera unaweza kyfanywa kama kituo cha biashara Afrika ya Mashariki.

Na pengine ungejikita katika kutoa ushauri ni kwa namna gani serikali (CCM) inapaswa kufanya ili kuwezesha hilo. Kusema ACT itafanya hivyo, ni kichekesho. Si leo wala kesho, dola itakuwa chini yenu.
Una uhakika bado watu wataendelea kuwa mazombie huku ccm ikiendelea kukaa madarakani kwa shuruti? Kwanini ccm ipewe namna ya kutatua matatizo, kama haiwezi iheshimu uchaguzi waingie wanaoweza.
 
We jamaa mpumbavu sana.

Jifunze kuacha matusi kwa Magufuli.

Mshenzi wahedi.

Hatusomi hizi takataka unazoandika.
Mkuu mbona makasiriko umetoka nje ya mada kama vile una ugonjwa wa PANIC ATTACK DISORDER 😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom