January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

MSIMAMO WANGU

New Member
Oct 23, 2011
4
9
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

January Makamba ameandika historia.

Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri

Je, ndoto yake ya kuwa Rais ikitimia si itakuwa jinamizi kwa taifa na atauza nchi nzima?

January ametumia taasisi chini ya Wizara ya Nishati, ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kutoa rushwa ya zaidi ya Shilingi milioni 10 kwa kila mbunge

Aliwahonga wabunge kupitia posho za semina za mfululizo siku 2 kabla ya kusoma hotuba ya bajeti, akihalalisha pesa hizo kwa kutumia maonesho ya sekta ya nishati kwenye viwanja vya Bunge na semina za wabunge

Pia aliwahonga wabunge mitungi ya gesi 100 kila mmoja

Jumla ya pesa za umma alizotumia kuhonga wabunge ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Tulia Ackson, ambaye mume wake ni bosi wa EWURA, alishirikiana kikamilifu na January kuhakikisha bajeti ya wizara yake inapita, licha ya usimamizi wake mbovu wa sekta ya nishati na tuhuma za ufisadi

Kwa rushwa hii, January amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi
 
Hilo bunge ni najisi. Sote tuliona uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa wa kuhayawani, hivyo hatushangai rushwa hizo. Maadamu vyombo vya dola vimeamua kulinda wizi wa kura acha hela za wajinga zipigwe tu.
 
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

January Makamba ameandika historia.

Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri

Je, ndoto yake ya kuwa Rais ikitimia si itakuwa jinamizi kwa taifa na atauza nchi nzima?

January ametumia taasisi chini ya Wizara ya Nishati, ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kutoa rushwa ya zaidi ya Shilingi milioni 10 kwa kila mbunge

Aliwahonga wabunge kupitia posho za semina za mfululizo siku 2 kabla ya kusoma hotuba ya bajeti, akihalalisha pesa hizo kwa kutumia maonesho ya sekta ya nishati kwenye viwanja vya Bunge na semina za wabunge

Pia aliwahonga wabunge mitungi ya gesi 100 kila mmoja

Jumla ya pesa za umma alizotumia kuhonga wabunge ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Tulia Ackson, ambaye mume wake ni bosi wa EWURA, alishirikiana kikamilifu na January kuhakikisha bajeti ya wizara yake inapita, licha ya usimamizi wake mbovu wa sekta ya nishati na tuhuma za ufisadi

Kwa rushwa hii, January amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi
Naunga mkono hoja.
P
 
Sema uoni jamaa kaonyesha unyama na umwambah? Yaani kuhonga bunge (serikali) nzima na likakaa kimya.

Na raisi alipewa pia rushwa?
 
Mama SSH, kwakua Yanga timu yenye wamanchi wenye akili , imenyimwa ubingwa kwa sheria kandamizi za CAF, embu fanya kitu,nchi irudi kwenye utimamu
 
JamiiForums1528097505.jpg
 
Unagawa mitungi 100 bure kwa kila mbunge, hizo pesa za kugawa Mitungi yote hiyo Umeipata wapi?.

Rushwa, Rushwa, Rushwa tupu

January ni mtoa Rushwa
Spika ni mla Rushwa
Wabunge ni wala Rushwa
Samia anavumilia Rushwa

Aibu aibu aibu kubwa kabisa hii

Nilikuwa nampa January benefit of doubt, lakini kwa kitendo hiki, huyu kijana ni hatari kwa maslahi ya Taifa, Hafai hata kidogo katika nafasi aliyopo na Certainly hafai kabisa kuja kushika wadhifa mkuu wa nchi yetu. Ananuka rushwa!
 
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

January Makamba ameandika historia.

Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri

Je, ndoto yake ya kuwa Rais ikitimia si itakuwa jinamizi kwa taifa na atauza nchi nzima?

January ametumia taasisi chini ya Wizara ya Nishati, ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kutoa rushwa ya zaidi ya Shilingi milioni 10 kwa kila mbunge

Aliwahonga wabunge kupitia posho za semina za mfululizo siku 2 kabla ya kusoma hotuba ya bajeti, akihalalisha pesa hizo kwa kutumia maonesho ya sekta ya nishati kwenye viwanja vya Bunge na semina za wabunge

Pia aliwahonga wabunge mitungi ya gesi 100 kila mmoja

Jumla ya pesa za umma alizotumia kuhonga wabunge ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Tulia Ackson, ambaye mume wake ni bosi wa EWURA, alishirikiana kikamilifu na January kuhakikisha bajeti ya wizara yake inapita, licha ya usimamizi wake mbovu wa sekta ya nishati na tuhuma za ufisadi

Kwa rushwa hii, January amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi
Kijana wa Mama, January Suluhu Hassan
 
Matokeo ya kujaza wabunge wa chama kimoja bungeni ndio haya..... upuuzi mtupu

Si kuna uzi wa mtu mmoja alikua anamtetea , hivi ni katika mazingira gani semina kila mbunge alambe 10 m, huu ni wizi
 
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

January Makamba ameandika historia.

Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri

Je, ndoto yake ya kuwa Rais ikitimia si itakuwa jinamizi kwa taifa na atauza nchi nzima?

January ametumia taasisi chini ya Wizara ya Nishati, ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kutoa rushwa ya zaidi ya Shilingi milioni 10 kwa kila mbunge

Aliwahonga wabunge kupitia posho za semina za mfululizo siku 2 kabla ya kusoma hotuba ya bajeti, akihalalisha pesa hizo kwa kutumia maonesho ya sekta ya nishati kwenye viwanja vya Bunge na semina za wabunge

Pia aliwahonga wabunge mitungi ya gesi 100 kila mmoja

Jumla ya pesa za umma alizotumia kuhonga wabunge ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Tulia Ackson, ambaye mume wake ni bosi wa EWURA, alishirikiana kikamilifu na January kuhakikisha bajeti ya wizara yake inapita, licha ya usimamizi wake mbovu wa sekta ya nishati na tuhuma za ufisadi

Kwa rushwa hii, January amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi
Daah so sad 😞
 
Back
Top Bottom