BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Hii nchi nacho Ipendea sisi Vilaza tuko wengi tunadanganywa sana na tutadanganywa hadi mauti itukute, yaani mwisho wa kufanganywa na kuhadaiwa ni siku mtu amekata pumzi, tofauti na hapo tuendelee kuhadaiwa tu make ndio tulivyo , back Kwenye maada sasa;
Ndege za mizigo au abiria ni Demand driven, haihitaji nchi iwe na ndege zake za mizigo au abiria, ndio sasa ifanye biashara za nizigo, hii ni hadaa za kudanganya Taifa la wavivu kufikiri kama Tanzania, ncni imejaaa watu wasio hoji, Chawa tupu.
Kenya zinatua ndege za mizigo za mashirika Makubwa kabisa Duniani kama, Lufthansa Cargo ambayo hata ya abiria huku haiji ila Kenya zinatua, Brtish Airway Cargo zinatua Kenya, kwa kifupi, asilimia 99 ya ndege za mizigo zinazo tua Kenya sio za Kenya, bali ni za mashirika makubwa Duniani yanaenda kubeba mizigo.
Unazani tungekuwa na mizigo wasingekuja? Wangekuja sana kubeba mizigo lakini hawaji kwa sababu hakuna mizigo ya kuwalipa Tanzania.
Jiulize kwa nini Lufthansa ya abiria inatua Nairobi na Tanzania haitui? ni kwa sababu wanaona hakuna abiria na siku wakiwepo itakuja tu.
Tuendelee kufurahishana tu, tunachoma pesa kununua madude ambayo sana yata paki uwanjani kama maua tu.