Kitabu cha kumsifu Hayati Magufuli cha Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole, ndiyo maana akahamishiwa Cuba

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,006
17,917
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa!!!

PERIOD!!!!
 
Ama kweli kunya anye kuku tu akinya bata kaharisha huyo....Naomba kuuliza toka lini nchi ikaandika kitabu eti Malawi wameandika kitabu.. Aliyeandika ni Professor Malango Chinthenga kwani ana kosa gani kuandika kitabu chake? Hivi huyo pole pole ana nguvu au fedha kiasi gani cha kumlazimisha Professor kuandika kitabu tena pages 800 alafu eti akahamishiwa CUBA kama ni kweli si angefukuzwa huo ubalozi.
Kuna wasomi wengi hivi sasa wapo busy na kuandika vitabu vya kila aina vya kukosoa na kusifia tofauti ni hivi vyetu ambavyo ni biased. Hicho kitabu kiletwe haraka wanaopenda wanunue
 
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa!!!

PERIOD!!!!
Kama kuna watu wanadai Magu aliharibu maisha yao, basi ujue wao ndo walikuwa wa kwanza kuvuruga maisha ya Watanzania wengi.

Alipokuja tinga tinga akasawazisha ngoma ikawa droo.

NA HAPO NDO ALICHEZA DAKIKA 47 TU SIJUI ANGEMALIZA 90 HALI INGEKUAJE KWENU VIHIYO UNITED, VILAZA FC NA MAFISADI CAMP ???
 
Na Cuba Nako ataandikwaz alafu utasema ni shinikizo la Polepole.

Unajua,, ifike Mahali Siasa za Unafiki, ujinga na kujitoa ufaham tuziache.

Aina hiyo ya Siasa ndio inafanya Afrika hatupigi hatua yoyote na kushindwa kuwawajibisha Viongozi mafisadi, wavivu nanwazembe.

TUKUBALI TU, UKIACHANA MAFISADI, MAJOBLESS WASOKUA NA AKILI, WANASIASA UCHWARA , UKWLEI NI KWAMBAZ JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, ATABAKI KUA RAIS NAMBA MBILI NA NAMBA MOJA ALIYEAMUA KUTHUBUTU KULIVUSHA TAIFA LA TANZANIA NA KULIEKEZA KWENYE NCHI YA AHADI.
 
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa!!!

PERIOD!!!!
Wewe ni pepo kwenye hili bila shaka
 
Hakuna genge wala Gang yeyote linaloitwa Sukuma Gang Tanzania. Kuna kabila la WASUKUMA.
CHADEMA Wacheni Ugaidi na lugha za Kiutenganishi. Wacheni GENOCIDE!

Chuki za kibinafsi baina ya Mbowe na Lissu dhidi ya Hayat Rais ibakie huko huko. Chuki hizo zisiingizwe kwenye wanja la siasa Tanzania.

CHADEMA stop your Seccesionist agenda. stop your Terorrism tacts. Stop the GENOCIDAL agenda against the WASUKUMA tribe and peoples.

CHUKI dhidi ya Kabila la Wasukuma zikomeshwe.
 
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa!!!

PERIOD!!!!
Mkuu

Kuna mengi mazuri ya mwamba kuliko mabaya!!

Mkuu Bara bara zote unazopita KWA madaha zote nchi hii alisimamia !!

Kuhusu tuhuma za waliokufa au KUTESWA na utawala wake ni KILA kiongozi akiingia madarakani hayo hutokea tu mkuu!!

Msimtukane marehem kiasi hiki Mkuu!focus KWENYE mazuri sio mabaya!!

Ukifanya hivyo itakua afya mifupani mwako na akili I mwako!!

Kwani akili YAKO ikikubali kuwa alikua mwamba wa africa UNAFIKIRI utapungukiwa NINI!!!?

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA!
 
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa! !!

PERIOD!!!!
Yani wamalawi wanamjua Magufuli kuliko sisi, amewafanyia nini hadi wamsifie?;
 
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!

Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au anadhani yupo awamu ya tano?

Jamani issue iko hivi

Hizo drama zote unazoziona za eti kitabu kuzinduliwa Malawi ni drama za polepole na wote mnajua polepole ni SukumaGang member tena hadi vigogo wa SukumaGang humtumia sana kwa kazi zao zote za nje ya nchi huyu ndo diaspora wao haki vile

Haki watz hii ndiyo ndo kazi ya balozi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?

Yaani balozi nzima na akili zako unaenda malawi kushinikiza kiandikwe kitabu ili ionekane Kuwa mwendazake ni shujaa wa Africa nzima?Haki this is nonsense and hilarious omg!!!!

Ndo maana alibadilishwa fastaa akapelekwa Cuba sasa ngoja tuone huko Cuba kama ataenda kulazimishwa tena ajenda ya kumpublish mwendazake ili ionekane kuwa anakubalika hadi Cuba?

Bado wanahangaika hawa SukumaGang kumpa umaarufu huyo mfu ambaye hakua na faida yoyote kwa taifa!!Sijui ilikuaje yule mwehu akawa Rais wa nchi hii?Haki mi kwa Magu hamniambii kitu kama taifa tulipata hasaraa mnoo ni rais aliye-ruin na kuharibu maisha ya watu wengi mnoo!!

Yaani zile kiki za awamu ya 5 polepole ndo anadrive hadi kuandaa mipango kitabu kiandikwe huko malawi kwa mashinikizo ili eti mwendazake aonekane shujaa na alikua anakubalika kumbe ni kiki tu.

Haki this time tumechoka na hizi drama, huyu nae mama anambeleza sana ifike mahali aamue kuwa balozi na afanye kazi au kuwa mueneza legacy ya Magu.Ifike mahali mama amtoe huyu mtu hatufaiii kabisa!!!

PERIOD!!!!
Wewe ni punga
Tena familia yako ina hasara sana kuwa na mtu kama wewe
 
Back
Top Bottom