Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.

IMG_7454.jpeg
 
Back
Top Bottom