Taifa lolote lenye nguvu duniani linajengwa na Wasomi

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Nimewiwa kuandika huu Uzi kwa sababu maalumu mbili. Kwanza upendo wangu Taifa langu Tanzania na pili Uzi huu kutumika kuimulika kesho ya Taifa langu.

Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwl Nyerere ndie founder wa Taifa hili na niseme tu pamoja na mapungufu yake ila mchango wake kwa Tanzania tunaiyona leo ni mchango utakao dumu kwa Karne na Karne.

Kuna vijana wajinga wajinga sorry kuwaita wajinga wajinga ila real niwajinga wanambeza nahata kufanya mambo ya ajabu sana mpaka unasema haya makitu yametolewa wapi we need elite na ninataka kuwaambia Elites kutokuwepo kwenye mifumo ni jambo litatugharimu sana kama Taifa we need elites hili Taifa nikubwa sana sorry to say that ila tukifikiri tutaweza mchukua mtu tu nakumpa a very high positions kwa mahaba ya chama na familia zetu jambo baya litatokea huko mbeleni nasema hivi kwa sababu elites ndio wanajenga Taifa siasa zipo ila elites kwenye mifumo nyeti ya Taifa ndio wanajenga Taifa.

Just think about this Mtu kama Mh Chenge unaweza muona ni mtu wa kawaida ila this man is not normal man kama angekuwa ktk mataifa imara yenye mifumo mizuri Chenge is elite na sio mbambamba angalia kazi zake na jinsi kila mtu ana refer vifungu vyake. Pamoja wanamchaguwa this man is not normal.

Sorry jamani hivi kweli Mh January vs Prof Muhongo? Kweli kweli kweli?

Tuna hangaika kwa sababu ya siasa na kwa mataifa yametuzunguka yamesha juwa udhaifu wa hili Taifa na wanacheza na akili zetu.

Angalie njaa inataka kutukuta kama Taifa halafu ako mtu Soo powerful kuliko Tiss or president? Huu ni utashi wa Tiss au Rais? Elite ndio Siri ya Taifa imara.
Tangu kuwepo kwa hili Taifa sidhani kama tunazaid ya Marais wawili au watatu ambao kweli walikuwa na nia ya kutengeneza Elite.

Embu angalieni profile za high profile kwenye special unity za Taifa. Mashirika yetu, wizara zetu, jeshi letu, BOT nk angalieni muone kesho ya Taifa hili Ukiangalia vyema kwa jicho la tatu uka angalia list ya same people kwenye kipindi cha Nyerere au Mkapa something wrong some where from my perspective.

Huitaji kichwa cha kawaida pale Takukuru, huitaji kichwa cha kawaida kule Idara, huitaji vichwa vya kawaida pale ikulu sijuwi Mjomba binamu my friend utaambulia umebea na fitina while serikali ina kufia mchana kwe upe. Just listen katibu mkuu yule wa tangu enzi za Nyerere Yani ukimsikiliza unajuwa kabisa kazi ilifanyika na hatupaswi kubeza Kuna miamba walilitawala hili Taifa with big brain. Yeye tu mwenyewe sio wa kawaida Yani ni Mzee ila nop kile nikifaa.

Wizara zetu zina watu wa aina gani? Wajomba, mashemeji mawifi au watoto wa dada.. Au wajukuu zako.

Why leo kila mtu ana haha mtoto wake aingie sehem nyeti za Taifa while Nyerere hakufanya hivyo? Je tunataka nepotism ndani ya taasisi za serikali je do we know what will be the end of such move in government?

Msikilize Hayati Jerry Rowling alie wahi kuwa Rais wa Ghana. Rais ambaye aliongoza Taifa kwa mkono wa chuma ila akahakikisha same anapeleka Taifa lake kwenye Demokrasia ya kweli. Moja ya maneno yake nayapenda sana nipale alipo sema "Tunahitaji kuwa na katiba hata kama shetani akikalia kiti cha Urais hawezi kwenda nje ya katiba" JJ

Angalie Taifa kama Marekani unashanga Rais with more than 80 years anaongoza na anapata Urais umewahi jiuliza why?

Angalia hali ya Dunia na Rais angekuwa kijana nadhani Dunia ingewaka moto lakini msikilize Elite Biden anachokwambia.

Anasema wao nitaifa kubwa sana na lenye nguvu hivyo hawajifichi katika yale yamelikuta Taifa zamani maana wao ni great nation on Earth.

Anachosema ndiyo ukweli mchungu ambao adui zake hawataki kusikia. Japo ndio ukweli.

Embu angalia walivyo jiandaa navita ambayo hata German hakuwaza japo Alisha mtaadharisha.

Dunia ipo kipindi kibaya sana ila just see how USA ana control Dunia kwa very high brained and very fine elite
 
Huwezi kuwa elite kwenye Taifa ambalo wapishi wa hao elite aambao ni walimu wamefanywa kinyago cha mpapuure yaani ni kama punching bag ya wanasiasa!!

Hivyo tu yaani
 
What kind of philosophical questions are there?. Hivi mnajua haya mambo kiundani au mnajadili kimitazamo binafsi.. Uongozi ni kipawa wakuu sio digrii Wala vyeti. Muangalien kiongozi yule wa Kule visiwani alafu muenende na judging point zenye miiko na maadili. Ukiliangalia hili jambo huku umefungamana na upande Fulani Kuna vitu hutaona
 
Taifa lolote ambalo halitambui mchango wa wasomi alafu linategemea kupata maendeleo litaishi katika ndoto za maendeleo vionjo katika fikra zake
 
Haki uinua taifa. Tunayo mifumo mizuri ya kupata viongozi lakin haifuatwi. Wenye sifa hawapewi nafa na wenye nafasi hawana sifa,
 
Nimewiwa kuandika huu Uzi kwa sababu maalumu mbili. Kwanza upendo wangu Taifa langu Tanzania na pili Uzi huu kutumika kuimulika kesho ya Taifa langu.

Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwl Nyerere ndie founder wa Taifa hili na niseme tu pamoja na mapungufu yake ila mchango wake kwa Tanzania tunaiyona leo ni mchango utakao dumu kwa Karne na Karne.

Kuna vijana wajinga wajinga sorry kuwaita wajinga wajinga ila real niwajinga wanambeza nahata kufanya mambo ya ajabu sana mpaka unasema haya makitu yametolewa wapi we need elite na ninataka kuwaambia Elites kutokuwepo kwenye mifumo ni jambo litatugharimu sana kama Taifa we need elites hili Taifa nikubwa sana sorry to say that ila tukifikiri tutaweza mchukua mtu tu nakumpa a very high positions kwa mahaba ya chama na familia zetu jambo baya litatokea huko mbeleni nasema hivi kwa sababu elites ndio wanajenga Taifa siasa zipo ila elites kwenye mifumo nyeti ya Taifa ndio wanajenga Taifa.

Just think about this Mtu kama Mh Chenge unaweza muona ni mtu wa kawaida ila this man is not normal man kama angekuwa ktk mataifa imara yenye mifumo mizuri Chenge is elite na sio mbambamba angalia kazi zake na jinsi kila mtu ana refer vifungu vyake. Pamoja wanamchaguwa this man is not normal.

Sorry jamani hivi kweli Mh January vs Prof Muhongo? Kweli kweli kweli?

Tuna hangaika kwa sababu ya siasa na kwa mataifa yametuzunguka yamesha juwa udhaifu wa hili Taifa na wanacheza na akili zetu.

Angalie njaa inataka kutukuta kama Taifa halafu ako mtu Soo powerful kuliko Tiss or president? Huu ni utashi wa Tiss au Rais? Elite ndio Siri ya Taifa imara.
Tangu kuwepo kwa hili Taifa sidhani kama tunazaid ya Marais wawili au watatu ambao kweli walikuwa na nia ya kutengeneza Elite.

Embu angalieni profile za high profile kwenye special unity za Taifa. Mashirika yetu, wizara zetu, jeshi letu, BOT nk angalieni muone kesho ya Taifa hili Ukiangalia vyema kwa jicho la tatu uka angalia list ya same people kwenye kipindi cha Nyerere au Mkapa something wrong some where from my perspective.

Huitaji kichwa cha kawaida pale Takukuru, huitaji kichwa cha kawaida kule Idara, huitaji vichwa vya kawaida pale ikulu sijuwi Mjomba binamu my friend utaambulia umebea na fitina while serikali ina kufia mchana kwe upe. Just listen katibu mkuu yule wa tangu enzi za Nyerere Yani ukimsikiliza unajuwa kabisa kazi ilifanyika na hatupaswi kubeza Kuna miamba walilitawala hili Taifa with big brain. Yeye tu mwenyewe sio wa kawaida Yani ni Mzee ila nop kile nikifaa.

Wizara zetu zina watu wa aina gani? Wajomba, mashemeji mawifi au watoto wa dada.. Au wajukuu zako.

Why leo kila mtu ana haha mtoto wake aingie sehem nyeti za Taifa while Nyerere hakufanya hivyo? Je tunataka nepotism ndani ya taasisi za serikali je do we know what will be the end of such move in government?

Msikilize Hayati Jerry Rowling alie wahi kuwa Rais wa Ghana. Rais ambaye aliongoza Taifa kwa mkono wa chuma ila akahakikisha same anapeleka Taifa lake kwenye Demokrasia ya kweli. Moja ya maneno yake nayapenda sana nipale alipo sema "Tunahitaji kuwa na katiba hata kama shetani akikalia kiti cha Urais hawezi kwenda nje ya katiba" JJ

Angalie Taifa kama Marekani unashanga Rais with more than 80 years anaongoza na anapata Urais umewahi jiuliza why?

Angalia hali ya Dunia na Rais angekuwa kijana nadhani Dunia ingewaka moto lakini msikilize Elite Biden anachokwambia.

Anasema wao nitaifa kubwa sana na lenye nguvu hivyo hawajifichi katika yale yamelikuta Taifa zamani maana wao ni great nation on Earth.

Anachosema ndiyo ukweli mchungu ambao adui zake hawataki kusikia. Japo ndio ukweli.

Embu angalia walivyo jiandaa navita ambayo hata German hakuwaza japo Alisha mtaadharisha.

Dunia ipo kipindi kibaya sana ila just see how USA ana control Dunia kwa very high brained and very fine elite
Kama nakuelewa elewa hivi!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna dawa unatumia...usiache kunywa....

Profesa Muhongo?jitu liongo tapeli na dalali wa Mali za umma ...unakuja kudanganya nini hapa??
HUYU ALIYEANDIKA HUU HUZI NI HOVYO KBS,HIVI CHENGE KWENYE NCHI ZA WENZETU SI ANGEKUWA ANAOZEA JELA?, JANUAYR MAKAMBA NA MUHONGO WOOTE MAGENGE YA WAHALIFU.

UKIONA MTU ANAWASHOBOKEA WATU WAOVU, UJUE PIA NA YEYE NI MWOVU.
 
Unayo hoja ya msingi. Mimi binafsi mfano wangu mzuri ni Hayati Ben Mkapa, that man was exceptionally smart. Aliunda serikali makini, pamoja na mapungufu yaliyokuwepo lakini kazi kubwa ya kufumua mfumo wa nchi na kuujenga upya ilifanyika.
 
Kama kuna dawa unatumia...usiache kunywa....

Profesa Muhongo?jitu liongo tapeli na dalali wa Mali za umma ...unakuja kudanganya nini hapa??
Kwa kweli hata mimi huwa namkubali sana TumainEl lakini kwa hawa kina Chenge na Prof Muongo; HAPANA. Bora tu hata hawa waliopo japo wanaonekana kupwaya kwenye nafasi zao..
 
Back
Top Bottom