Mikutano: Walianza Mbowe, Zitto na Chongolo lakini Chadema wameishiwa pumzi wamebaki ACT na CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,970
141,982
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma

Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo😄😄

Siasa ni Mipango siyo mbwembwe!
 
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma

Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo😄😄

Siasa ni Mipango siyo mbwe
Chadema wakurupukaji walipata ruzuku wakajua haitaisha, wee chongolo mwenyewe ndio yupo kwenye Chama Dola na anatumia gari Barabara na mguu. Kurusha helcopter wiki masaa 12 sio mchezo. Wapo Dar sa i lvi wamerudi siasa za twita na maria spesii 😂😂
 
Ndio maana zito na act yake huwa inawadharau sana chadema anajua haina think tank. Act wametoka ruvuma, wakaenda rukwa, Kigoma, kagera na Geita huko Zanzibar naona jusa na yule mwarabu mwenye madevu wanapambana. Huku zito na Babu duni. Chongolo anapiga Shina mpka Shina (sayansi ya Siasa). Jamaa zetu wanaruka na helcopter wanakimbilia kuhesabu kata walizofika badala ya kujiuliza watu wamepata nini kwa ziara zao.
 
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma

Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo

Siasa ni Mipango siyo mbwembwe!
Utateseka sana ufe kama Magufuli, shauri lako. Magufuli was supreme agressive of power akaondoka. Sasa wewe utapata msongo wa mawazo utaondoka, shauri lako. Chadema ni mpango wa Mungu
 
Utateseka sana ufe kama Magufuli, shauri lako. Magufuli was supreme agressive of power akaondoka. Sasa wewe utapata msongo wa mawazo utaondoka, shauri lako. Chadema ni mpango wa Mungu
Nazungumzia Mikutano ya hadhara bwashee🤣🤣
 
Wafuasi wa Zitto mnateseka sana na CHADEMA, amsha waliyoipiga CHADEMA kuanzia Uzinduzi Mwanza hadi hii Operesheni Katiba Mpya hakuna Chama cha siasa hapa Tanzania kinaweza hata kuisogelea.

ACT na CCM si kitu hichohicho badilisha thread uandike CCM na Mwanae wanaendeleza Mikutano ya kuishambulia CHADEMA.

Tafuteni Agenda za kuwaambia Wananchi nyie msitujazie thread tu huku.
 
CCM tumerelax bwashee

Mikutano yetu ni nyumba kwa nyumba ardhini!
MNTGEMEA tissMna relax kwa vile mnategemea TISS na si mikutano. Penye tume huru ya haki hamtoboi. Mnadhani haya matanzania majiga kiasi hicho, ynawachora tu
 
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma

Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo😄😄

Siasa ni Mipango siyo mbwembwe!
Walikuambia wataanza na kuishia wapi?Unawapenda sana?
 
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma

Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo

Siasa ni Mipango siyo mbwembwe!
Kumbe Lissu anafanya nini?
 
Back
Top Bottom