Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na...
14 Reactions
187 Replies
15K Views
1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari...
11 Reactions
115 Replies
8K Views
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
MSIKILIZE LUSINDE ISHU YA BANDARI KUKODISHWA.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo...
15 Reactions
176 Replies
16K Views
Tulishampa Mwarabu Loliondo, tumempa shirika la posta, Tulishasaini MoU ya kumkabithi misitu yetu yote, tumempa Uwanja wa ndege wa KIA na Sasa tunachakata kumpa bandari zetu. Sultan anarudi au...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine...
6 Reactions
4 Replies
982 Views
Ndugu zangu majira ya jana 31th May 2023 Ikulu ya Zanzibar kupitia msemaji wake ilitoa taarifa kwa umma kwamba inamiliki shamba la hekta elfu 6 huko Wilaya ya Bagamoyo upande wa Tanzania Bara...
12 Reactions
61 Replies
8K Views
Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana...
24 Reactions
416 Replies
32K Views
Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata...
41 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuhusu Mkataba wa DP World, maswali ya Tundu Lissu yajibiwe haraka iwezekanavyo. Maswali aliyouliza Lissu miongoni mwake ni haya:- 1. Kwa nini mkataba huu haujahusisha Bandari za Zanzibar? 2...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano, nadhani hata kwenye kamusi ukitafuta neno maandamano unaweza ukaelewa maana yake ni nini, usalama...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi, Saa hizi ni Saa 8:39 za usiku!, yaani usiku wa manane, nimepita nje ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, la Askofu Zakaria Kakobe, nikashuhudia mamia ya waumini wake wamekaa...
10 Reactions
129 Replies
26K Views
Written by Nassor20 21/05/2011...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, Ludovick Utouh amesema sio sawa kwa Watu kumshukuru Rais kwasababu anachokifanya ni Uwajibikaji na Fedha zinazotumika ni Fedha za Serikali...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama mpaka leo hatuwezi kuwalipa walimu vizuri, mwalimu akishaajirwa huo huo mshahara wake ndio ale, avae, alipe Kodi ya nyumba, asomeshe watoto n.k. Tumeshindwa angalau hata Kila shule kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Viongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono. Sasa...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom