Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari.

Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo sina mashaka na ujuzi wake kwenye masuala ya Sheria.

Pamoja na haya leo napenda kupingana na Mwanasheria huyu mwenzangu katika uchambuzi wake katika masuala ya Bandari na hii ni kwa sababu najua anajua kuwa amepotosha na ni kweli na hakika kuwa katika suala hili ndugu yangu Lissu amepotosha sana.

Kwa nini Tundu Antipass Lissu amepotosha?

Kuhusu suala la Muda wa ukomo wa Mkataba

Lissu amesema kabisa huu mkataba unafuatiwa na Mkataba wa Host Government Agreement ila bado anajichanganya kwa kusema kuwa endapo hakutakuwa na Host Government Agreement mkataba huu utakuwa wa milele. Hapa Wakili wangu amepotosha vibaya sana. Katika Mkataba huu, Ibara ya Kwanza Ibara ndogo ya 2 ( Article 1(2))inaelezea ulazima wa pande zote ikiwemo Tanzania kuingia katika makubaliano ya Host Government Agreement!

Katika ibara hii kuanzia vipengele a, but hadi c vimeelezea wazi kabisa kuhusu HGA zitakazoingiwa kuhusu maeneo husika.

Sasa swali langu kwa Lissu tuseme hakuona hiki kifungu cha mkataba? Anapotosha kwa maslahi gani?

Kuhusu Mkataba kutosema faida tunazopata na uwekezaji unaofanyika ni wa kiasi gani?
Kusema kweli hapa Wakili msomi Lissu kama hafanyi upotoshaji wa makusudi basi atakuwa ameanza kuzeeka.
Article 1(2) c ya Mkataba huu inasema wazi na nakinukuu hapa,

" Tanzania agrees each relevant HGA and each relevant project agreement to which it or state authority is a party shall be the contractual framework for Tanzania and the State Authority's contractual rights, obligations and undertakings under or in connection with the relevant project"

Maana ya hiki kifungu ni kwamba kutika makubaliano ya HGA kuhusu mradi husika mfano iyo sehemu ya Bandari atakayopewa mwekezaji haki zote na wajibu wote ndo vitaelezwa humo ikiwemo uwekezaji ni kiasi gani, faida kwa Tanzania kuhusu uwekezaji huo ni kiasi gani na kila kitu kingine.

Logic behind kifungu hiki ni kuwa kabla pande mbili hazijaingia mkataba wa HGA hapo lazima wataalamu wa actuary wakae wapige hesabu kuhusu gharama za uwekezaji , faida zitakuwaje na mgawanyo wa kodi na malipo mengine yaweje. Haya yote kimsingi hayawezi kuwekwa katika mkataba huu ila yanapaswa kuwekwa kwenye HGA husika. Sasa Lissu kama mwanasheria najua anajua kuwa haya mambo hayapaswi kuwa katika IGA maana IGA inakuwa general ila HGA inakuwa specific katika mradi husika.

Kuhusu masuala ya Kodi
Hapa Wakili msomi Tundu Lissu kusema kweli amekosea kwa sababu anadai itakuwa kama kwenye masuala ya madini wakati hata hajajua kwenye HGA husika wajibu wa mwekezaji utawekwaje na ushiriki wetu kwenye huo uwekezaji utakuwaje??? Ibara ya 18 ya Mkataba huu imesisitiza kuzingatiwa na Sheria na masharti kama yalivyowekwa kwenye HGA. Sasa hapa zijaelewa kabisa hoja za Lissu?

Kwenye kipengele hiki hoja za Lissu zingekuwa na mashiko kama HGA zingekuwa zimeshakamilika na wataalamu wa Actuary hawajahusika katika kuweka hesabu za uwekezaji na faida vizuri. Hivyo sioni kama ana hoja ya msingi kwenye hili

Kuhusu kwenye Bandari za kuuzwa ingawa nakubaliana na Lissu kuwa muungano wetu una changamoto kwa kuwa naamini kama kweli ni muungano basi ulitakiwa kuwa wa serikali moja ila bado sikubaliani na Lissu kuhusu kusema Bandari zetu zimeuzwa.

Nimesoma mkataba wote, nimepitia kifungu kwa kifungu na kusema kweli hakuna sehemu mkataba huu umewapa watu wa Dubai Bandari. Mkataba huu umeonesha kuwa tutashirikiana katika masuala ya Bandari katika maeneo yatakayokubaliwa kwenye mkataba mwingine wa HGA ambapo sisi tutasema tushirikiane nao katika Bandari ipi au eneo lipi la uwekezaji na kwa masharti yapi. Hakuna sehemu imesemwa Bandari zote wamepewa au wanapewa. Lissu amepotosha sana.

Kuhusu Uzanzibari wa Samia na Prof Mbarawa hapa napo naona Lissu ameongea kama mwanasiasa ila sio kama mwanasheria. Unapohoji uraia wa mtu lazima uwe na msingi wa kuhoji. Kwa nini hakuhoji alipoamua alipwe posho zake alizozurumiwa kipindi cha awamu ya 5? Hapo hakuona kama anafanya kwa Uzanzibari wake?

Kwa nini hakuhoji wakati mazungumzo yake na Rais yalifanya afutiwe kesi zote na kupewa passport yake?

Kusema kweli hapa Lissu anapotosha kwa sababu hakuna Bandari yeyote iliyouzwa au kugawiwa hadi sasa. Hizi ni siasa za majitaka
 
Kiukweli huu ni mkataba mbaya sana kuwahi kutokea duniani

Ni Tanganyika tumeletewa na samia

Waarabu wamelenga kuiangamiza kabisa Tanganyika kwa kuwatumia viongozi wasio waaminifu waliokalia viti

Watanganyika amkeni muidai nchi yenu mtauzwa wao wakstaafu wataenda kupongezwa walikowauzeni
 
Hili jambo limebebwa na wanasiasa kwa hiyo tegemea lolote tu lakini Hawa chadema 2025 hawatataka kura za hiyo sehemu wanayoibagua na kuikejeli?
 
Screenshot_20230619-201606_Microsoft 365 (Office).jpg

Hoja ya kwanza tu umemlisha maneno Lissu, hakusema hayo! Alichosema Lissu ni hiyo ibara ya mkataba wenu wa hovyo.

Kuna haja ya kuendelea kukusoma?
 
Wakati wa sakata la gas ya Mtwara walitokea wanaojiita wanasheria nguli kuliko ww. Wakimwaga faida kibao tutakazopata, wakawa wanasema bomba la mafuta likifika Dar mgao wa umeme utakuwa historia. Wakasema umeme wa gas utazalisha 5,000mw, na ikifika 2020 tutakuwa tunauza umeme nje. Wakati huo ilisemekana wanaopinga uwekezaji huo hawaitakii nchi hii mema.

Leo hii mgao wa umeme umeisha baada ya bomba la gas kufika Dar? Je umeme wa gas unafikia hizo 5,000mw? Hii ni 2023, je tunauza umeme nje? Huu utetezi unaofanya hapa, hata wenzako ndio waliufanya wakati watu wanauawawa huko Mtwara kwa ajili ya kuwekeza kwenye gas. Kwenye suala la Uzanzibari Lisu ana hoja ya wazi, je bandari za Zanzibar ziko kwenye hayo makubaliano, na kama haziko ni kwanini?
 
Naona unaleta siasa badala ya kujikita kwenye uchambuzi
Nimekupa mifano halisi ya huu mchezo unaotumwa kuufanya hapa. Huna uchambuzi wowote unaofanya bali ni kufanya utetezi wa wizi ili ufaidike ww binafsi, na genge lenu la walaji. Tuna uzoefu wa watetezi wa aina yako kwenye uwekezaji wa wizi unaoendelea humu nchini.

Na kwa kukusaidia tuache hayo ya gas, ili usione tuko nje ya utetezi wako. Je bandari za Zanzibar ziko kwenye hiyo IGA, na kama haziko ni kwanini?
 
Watu walipigwa kamba nyingi sana kwenye gesi mwishowe mwingine akaja kusema tena hiyo gesi wameuziwa mabeberu akaelkeka kwenye bwawa!
😂😂 halafu huyu jamaa anajifanya bonge la mchambuzi. Hajui kuwa tuna uzoefu na hizo porojo za CCM kwenye uwekezaji, kuanzia mashirika ya umma, akina net group solutions nk. Na huko kote porojo za mafanikio zilikuwa ni nyingi kama hizi za sasa.
 
Hakika Hii Nchi, kama wee naye ni mwanasheria basi tuna safari kubwa ya kwenda .

Haya, Na vipi kuhusu maeneo mengine ya kimikakati kama Reli?

Kwahiyo kwenye HGA ndo tutaambiwa Mkataba ni wa miaka mingapi?, ila kwenye hii MoU Mkataba ni wamilele?
 
Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari.

Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo sina mashaka na ujuzi wake kwenye masuala ya Sheria.

Pamoja na haya leo napenda kupingana na Mwanasheria huyu mwenzangu katika uchambuzi wake katika masuala ya Bandari na hii ni kwa sababu najua anajua kuwa amepotosha na ni kweli na hakika kuwa katika suala hili ndugu yangu Lissu amepotosha sana.

Kwa nini Tundu Antipass Lissu amepotosha?

Kuhusu suala la Muda wa ukomo wa Mkataba!!
Lissu amesema kabisa huu mkataba unafuatiwa na Mkataba wa Host Government Agreement ila bado anajichanganya kwa kusema kuwa endapo hakutakuwa na Host Government Agreement mkataba huu utakuwa wa milele. Hapa Wakili wangu amepotosha vibaya sana. Katika Mkataba huu, Ibara ya Kwanza Ibara ndogo ya 2 ( Article 1(2))inaelezea ulazima wa pande zote ikiwemo Tanzania kuingia katika makubaliano ya Host Government Agreement!

Katika ibara hii kuanzia vipengele a, but hadi c vimeelezea wazi kabisa kuhusu HGA zitakazoingiwa kuhusu maeneo husika.

Sasa swali langu kwa Lissu tuseme hakuona hiki kifungu cha mkataba? Anapotosha kwa maslahi gani?

Kuhusu Mkataba kutosema faida tunazopata na uwekezaji unaofanyika ni wa kiasi gani?
Kusema kweli hapa Wakili msomi Lissu kama hafanyi upotoshaji wa makusudi basi atakuwa ameanza kuzeeka.
Article 1(2) c ya Mkataba huu inasema wazi na nakinukuu hapa,

" Tanzania agrees each relevant HGA and each relevant project agreement to which it or state authority is a party shall be the contractual framework for Tanzania and the State Authority's contractual rights, obligations and undertakings under or in connection with the relevant project"

Maana ya hiki kifungu ni kwamba kutika makubaliano ya HGA kuhusu mradi husika mfano iyo sehemu ya Bandari atakayopewa mwekezaji haki zote na wajibu wote ndo vitaelezwa humo ikiwemo uwekezaji ni kiasi gani, faida kwa Tanzania kuhusu uwekezaji huo ni kiasi gani na kila kitu kingine.

Logic behind kifungu hiki ni kuwa kabla pande mbili hazijaingia mkataba wa HGA hapo lazima wataalamu wa actuary wakae wapige hesabu kuhusu gharama za uwekezaji , faida zitakuwaje na mgawanyo wa kodi na malipo mengine yaweje. Haya yote kimsingi hayawezi kuwekwa katika mkataba huu ila yanapaswa kuwekwa kwenye HGA husika. Sasa Lissu kama mwanasheria najua anajua kuwa haya mambo hayapaswi kuwa katika IGA maana IGA inakuwa general ila HGA inakuwa specific katika mradi husika.

Kuhusu masuala ya Kodi!!
Hapa Wakili msomi Tundu Lissu kusema kweli amekosea kwa sababu anadai itakuwa kama kwenye masuala ya madini wakati hata hajajua kwenye HGA husika wajibu wa mwekezaji utawekwaje na ushiriki wetu kwenye huo uwekezaji utakuwaje??? Ibara ya 18 ya Mkataba huu imesisitiza kuzingatiwa na Sheria na masharti kama yalivyowekwa kwenye HGA. Sasa hapa zijaelewa kabisa hoja za Lissu?
Kwenye kipengele hiki hoja za Lissu zingekuwa na mashiko kama HGA zingekuwa zimeshakamilika na wataalamu wa Actuary hawajahusika katika kuweka hesabu za uwekezaji na faida vizuri. Hivyo sioni kama ana hoja ya msingi kwenye hili

Kuhusu kwenye Bandari za kuuzwa ingawa nakubaliana na Lissu kuwa muungano wetu una changamoto kwa kuwa naamini kama kweli ni muungano basi ulitakiwa kuwa wa serikali moja ila bado sikubaliani na Lissu kuhusu kusema Bandari zetu zimeuzwa.

Nimesoma mkataba wote, nimepitia kifungu kwa kifungu na kusema kweli hakuna sehemu mkataba huu umewapa watu wa Dubai Bandari. Mkataba huu umeonesha kuwa tutashirikiana katika masuala ya Bandari katika maeneo yatakayokubaliwa kwenye mkataba mwingine wa HGA ambapo sisi tutasema tushirikiane nao katika Bandari ipi au eneo lipi la uwekezaji na kwa masharti yapi. Hakuna sehemu imesemwa Bandari zote wamepewa au wanapewa. Lissu amepotosha sana.

Kuhusu Uzanzibari wa Samia na Prof Mbarawa hapa napo naona Lissu ameongea kama mwanasiasa ila sio kama mwanasheria. Unapohoji uraia wa mtu lazima uwe na msingi wa kuhoji. Kwa nini hakuhoji alipoamua alipwe posho zake alizozurumiwa kipindi cha awamu ya 5? Hapo hakuona kama anafanya kwa Uzanzibari wake?

Kwa nini hakuhoji wakati mazungumzo yake na Rais yalifanya afutiwe kesi zote na kupewa passport yake?

Kusema kweli hapa Lissu anapotosha kwa sababu hakuna Bandari yeyote iliyouzwa au kugawiwa hadi sasa. Hizi ni siasa za majitaka
Lord acha upotoshaji ni vzr ujibu factors LISSU alizosema, hasa article no 23 duration and termination!! Jikite hapo
 
Hii ngoma ya moto, kuanzia hukohuko ndani kwenu, naona kabisa samia anaenda kureft group, nimeamini hii inchi inaumafia wa hali ya juu sana
 
Hakika Hii Nchi, kama wee naye ni mwanasheria basi tuna safari kubwa ya kwenda .

Haya, Na vipi kuhusu maeneo mengine ya kimikakati kama Reli ?.

Kwahiyo kwenye HGA ndo tutaambiwa Mkataba ni wa miaka mingapi??, ila kwenye hii MoU Mkataba ni wamilele ?.
Kwenye HGA ndo kuna kila kitu hadi muda wa ukomo kwenye project husika
 
Lord acha upotoshaji ni vzr ujibu factors LISSU alizosema, hasa article no 23 duration and termination!! Jikite hapo
Duration haipo kwenye IGA kwa sababu hakuna project DP World amepewa kwenye IGA. DP World atapewa specific mradi kwenye HGA na hapo ndo itasemwa anapewa kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom