MBUNGE JANEJELLY NTATE - SERIKALI IWAANGALIE WATOTO WALIOSITISHA MASOMO KWA SABABU YA VITA UKRAINE 🇺🇦
"Waziri wa Fedha umekubali kupunguza mipaka ya Utawala wako, kukubali Idara ya Mipango irudi...
Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema kwa namna Mkataba ulivyo TPA watabaki na jukumu la kuvusha Watu wa Kigamboni na kusimamia Majahazi ya Wavuvi kwenye Pwani ndogondogo...
Uwasilishwaji wa bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/2024 umesababisha hisia tofauti miongoni mwa sekta mbalimbali za uchumi. Ingawa bajeti hiyo inajumuisha hatua kadhaa zinazolenga kukuza...
Najua kwa sasa hawa Wanasheria wetu wanasoma Vyuo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Tumaini walikosoma akina Kunambi na St Augustine alikosoma Katambi
Nyakati za EAC ya mwanzo UDSM Ilikuwa ndio...
Kimeumana!
Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World.
Mambo ni...
Hifadhi ya jamii kwa wote (Pensheni, mikopo na bima ya afya) - Mawazo ya ACT Wazalendo
Huduma mbovu za Afya ni chanzo kikubwa cha umasikini wa Watanzania. Kwa mujibu wa tafiti za Benki ya Dunia...
Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar.
Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar...
Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi
Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi
Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi...
Biblia inatufundisha kuwa Mchungaji Mwema huwaacha Kondoo 99 Kondeni na kwenda kumtafuta kondoo 1 aliyepotea
Nawashuhudia Watanganyika leo wakiachana kabisa na Mjadala wa Bajeti Kuu ya Nchi...
Wakati mjadala wa uhalali wa mkatabva wa uwekezaji katika bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ukiendelea, Mwandishi nguli nchini Jenerali Ulimwengu, amesema Serikali...
Tanzania Bara na Tanzania Visiwani = Tanzania
Tanganyika ilijibadili kuwa Tanzania Bara
Zanzibar ilibakia lakini yale mambo ya Muungano ndio hutambulika kama Tanzania Visiwani
Niko najifunza...
Swali la Ugomvi: Inaonekana wananchi wetu wanalazimishwa na Tume ya Warioba kuchagua chaguo pekee - Serikali tatu. Hawatakiwi kuchagua au kuzungumzia jambo jingine lolote zaidi ya "Serikali Tatu"...
TATIZO LA TANGANYIKA NA UHARAMU WA KATIBA MPYA
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo kama siyo kubwa zaidi ya hoja ambazo zitazua mjadala mkali katika Bunge Maalum la Katiba (BMLK) ni ile...
Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo...
Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI...
Kaimu Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Jussa amesema Kiongozi mmoja mkubwa wa CCM amekiri hadharani kwamba tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze CCM haijawahi kushinda uRais wa Zanzibar
Kwahiyo basi...
Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na...
Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.