Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku...
Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
Moja ya kauli za Prof Mbalawa Kwa WAFANYAKAZI ni Ile ya kuwatia matumaini Jana kwenye kikao na watumishi yakuwa hakuna mfanyakazi atakae fukuzwa kazi Kwa hiyo.watulie tu.
Kimsingi Nyie watumishi...
Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza...
Sijui nimjibu Dr. Slaa?
Mwaka 2011 nikiwa mwanafunzi wa kidato cha sita huko Ihungo boy's high school nikichukua masomo ya HGE niliwahi kuwa kiongozi wa ngazi ya jimbo wa umoja wa wanafunzi...
Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa...
Hili jambo kwa umri wangu duniani kuanzia Nyerere mpaka Magufuli skushuhudiwa wananchi wanamtilia wasiwasi,wanamwona kiongozi wao amepotoka km wakati huu wa bandari kuuzwa kwa Waarabu.
Kuanzia...
Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu.
Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu.
Leo hii bungeni kumejaa misemo ya...
Binafsi naona Wapewe maana ukiacha mambo ya kukuza ushirikiano wa Kikanda wao Wana Uzoefu mkubwa ambapo wanaochangia Asilimia 73% ya umeme wote wa Kenya unatoka kwenye Joto Ardhi.
=======
KenGen...
Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu.
Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko...
Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu.
Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa...
Kuanzia Mawaziri, Wakurugenzi na hata Wabunge wa chama chetu (CCM) na viongozi wa kichama na kiserikali wameshindwa kuiona, kuipata na kuijibu hoja ya wananchi kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye...
Rais, kwa upole wako na huruma kwa Watanzania na upendo ulionao kwao naomba kwa heshima kubwa uwafikirie kuwalipa fidia wale wote walioathirika na bomoa bomoa ya majumba yao kwa ajili ya utanuzi...
Wengi watashangazwa na huu uzi.
Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita.
Tembea uone.
Nilifanikiwa kutembelea soko la...
Watu wanasemaga kwenye siasa kamwe usiseme kumaliza maneno kisa umekasirika au una raha sana moyoni.
Huyu hapa ni mbunge wa CCM akiwa kwenye Bunge letu pendwa akiwasha moto juu ya wabunge na...
MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini...
Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana.
Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi...
Maana akina Mengi na Manji walikuwa wanautaka enzi zile za 2014 Muhongo akawaambia wana kampuni za vibiscuit
Sahv naskia Jiwe hautaki hata maana maslai hayako tz
Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini.
Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani.
Kamishna Jenerali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.