Kwani Bunge lingemkatalia Prof Mbarawa ingekuwaje
Au lingefanyia marekebisho stahiki kwenye vifungu Vya Mkataba unadhani hii mijadala ingekuwepo leo
Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni...
Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu
Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika
Tunaweza kutofautiana kwenye Imani...
Mbinu ya maandamano kudai haki ya umma inayohujumiwa na mfumo uliopo wa warasimu imepitwa na wakati kwa kuwa ni mbinu ambayo haikuwahi kufanikiwa kuchagiza dola kutoa haki inayodaiwa.
Zipo nchi...
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt Francis Michael ametoa onyo kwa baadhi ya Mawakala wa magari ya mizigo wanaoruhusu malori ya mizigo kuingia kwenye foleni yakiwa hayana nyaraka za kuvuka mpaka akisema...
Rais anaenda ziara Mwanza.
Hoja:-
1. Anaenda kuondoa wakfu wa serikali toka kwenye bandari hiyo ili kuruhusu DP World kuweka wakfu wao?
2. Anaenda kuwapooza Wasukuma kwa maneno matamu?
3. Ili...
Zitto Kabwe amemteua mh Jussa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo
Zitto Kabwe ameanza safari ya Hispania na Poland kwenye Mikutano mbalimbali
Ikumbukwe Mwenyekiti wa Chadema naye yuko...
[emoji625][emoji625] UVCCM-TAIFA
[emoji2783]08 Juni 2023
KIJANA SEMA NA UVCCM
Vijana ni hazina muhimu sana kwa Taifa letu kwasababu ya upeo wao mkubwa wa kufikiri na uwezo mkubwa katika...
TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa.
Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo...
Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE.
99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle...
[emoji625] UVCCM - TAIFA
[emoji2783] 23 Mei, 2023. Dodoma.
[emoji288] EDNA NA WAANDISHI WA HABARI
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo...
Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu...
Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu...
Wadau niende kwenye mada yangu moja kwa moja. Kumekuwa na ukiritimba mkubwa wa utekelezaji wa hukumu mbalimbali za mahakama ktk ofisi za wakurugenzi wa halmashauri hapa nchini zinapotolewa na...
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga
Rais Samia kanyaga...
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari akitoa ufafanuzi kuhusu suala la ukomo wa muda kwa mikataba ya uendelezaji na uboreshaji ufanisi wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.
Tusisahau...
Kinachopigiwa kelele si mkataba maana kuna mikataba ya utekelezaji bado inakuja, kinachowaumiza kiundani ni mnyororo wa thamani pale bandarini vingi watapoteza watu wana makampuni yana secret...
Hawa BBC Swahili watakuwa wamepokea nini unadhani nikiwasikiliza online wanakwepa kabisa kujadili Waarabu kuuziwa nchi viongozi.
Najaribu kukumbuka hawa watu walikuwa na ueledi sana kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.