Maswali ya Tundu Lissu yajibiwe haraka

Maswali ya Tundu Lissu yajibiwe haraka

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,144
Kuhusu Mkataba wa DP World, maswali ya Tundu Lissu yajibiwe haraka iwezekanavyo.

Maswali aliyouliza Lissu miongoni mwake ni haya:-

1. Kwa nini mkataba huu haujahusisha Bandari za Zanzibar?

2. Kwa nini mkataba huu unavunja katiba yetu?

3. Kwa nini mkataba huu unavunja hadi sheria za kimataifa kuhusu mambo ya Bandari?

Maswali haya yasipojibiwa kwa kina na kwa Utulivu na kwa haraka, sisi Watanzania tutamwamini zaidi muuliza maswali.

Na mimi nauliza, kama kweli huu mkataba una nia njema, kwa nini maswali hayo hapo juu hayajibiwi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom