Uongo na upotoshaji unaosambazwa kuhusu ujio wa DP World Tanzania

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
430
623
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini

Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP World na Tanzania kinachotaja ukodishaji wa miaka 100

UONGO #2: Serikali imeuza bandari ya Dar es Salaam kwa mwekezaji wa nje

Ukweli:
Hakuna uwezekano wowote wa Serikali kuuza bandari yoyote nchini. Kinachopangwa kufanyika ni UKODISHAJI wa sehemu ya bandari ili kuongeza idadi ya shehena, ufanisi na mapato ya kodi

UONGO #3: Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kubinafsisha bandari

Ukweli:
Kumekuwa na UWEKEZAJI binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia kampuni ya TICTS kwa takribani miaka 30, kuanzia zama za marais Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Magufuli hadi sasa.

UONGO #4: Kampuni ya DP World haina uwezo wowote ule na ni wababaishaji

Ukweli:
Kampuni ya DP World inamilikiwa na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). DP World ni moja ya kampuni kubwa na zinazoheshimika duniani, ambayo inaendesha bandari kwenye nchi karibu 50 duniani, ikiwemo mataifa 10 ya Afrika

DP World inaaminiwa kuendesha bandari kwenye mataifa makubwa kabisa duniani, ikiwemo Marekani, China, Ujerumani, Ufaransa na Canada. Kwa upande wa Afrika, wapo Nigeria, Afrika Kusini, Rwanda, Misri, Msumbiji na nchi nyingine

Kwa mwaka 2022 peke yake, DP World ilipata mapato ya Dola za Marekani Bilioni 17.1 na faida ya Dola Bilioni 5 (sawa na shilingi trilioni 12).

DP World imewekeza zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 1.8 kwenye bara la Afrika katika miaka kumi iliyopita na inapanga kuwekeza Dola za Marekani Bilioni 3 (shilingi trilioni 7.2) kwenye bara hili katika miaka ijayo.

UONGO #5: *Tanzania haiwezi kupata faida yoyote kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam

Ukweli:
Uwekezaji binafsi ni jambo la kawaida kwenye bandari nyingi kubwa Afrika, Marekani, Asia na sehemu nyingine duniani.

Tanzania inatarajia kupata manufaa yatuatayo kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam:

(a) kuongeza fursa za ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutokana na uwekezaji mkubwa na ongezeko la Shehena ya Mizigo itakayopitia Bandari ya Dar es Salaam;

(b) kuongezeka kwa ufanisi katika uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi na kuleta tija stahiki katika mnyororo wa thamani wa huduma za bandari nchini;

(c) Kuongezeka kwa pato la Taifa kutokana na uboreshaji wa shughuli za kibandari;

(d) Kuongeza tija na kuwezesha mwendelezo wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imekuwa ikijengwa na Serikali kama vile Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), ujenzi wa meli za mizigo katika Maziwa Makuu, na Mradi wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam; na

(e) Kuchagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (Multiplier Effect)
zikiwemo Kilimo, Utalii, Viwanda, Mifugo, Uvuvi, Biashara na Usafirishaji na hivyo kuboresha ustawi wa Watanzania kwa ujumla.
 
Mimi nimeshangaa nani mbabaishaji/ waliozusha ?

Kwani hao wanaodaiwa wababaishaji/wazushaji walitoa wapi hizo taarifa?

Kwanini hunge imefuta hilo tangazo kwenye tovuti yake?
 
Attacks and counter attacks
Wazalendo vs Machawa
Wasomi/wapigaji vs raia
hiyo ndo vita anaendelea hapa kwenye badali yetu macho nani atawin public upinion.
 
Kilichopo ni kwamba wamebadilisha wanaonufaika na bandari. Mwanzo ilikua watanzania wenzetu walioamua kuwa wezi, sasa ni mwarabu.

Kwa mtanzania wa kawaida panaweza kuwa na nafuu kama mwarabu ataleta ufanisi na kupunguza gharama za kutoa mizigo. Hilo ndio tarajio langu.

Vinginevyo tumebadili mdomo unaokula!
 
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini

Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP World na Tanzania kinachotaja ukodishaji wa miaka 100

UONGO #2: Serikali imeuza bandari ya Dar es Salaam kwa mwekezaji wa nje

Ukweli:
Hakuna uwezekano wowote wa Serikali kuuza bandari yoyote nchini. Kinachopangwa kufanyika ni UKODISHAJI wa sehemu ya bandari ili kuongeza idadi ya shehena, ufanisi na mapato ya kodi

UONGO #3: Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kubinafsisha bandari

Ukweli:
Kumekuwa na UWEKEZAJI binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia kampuni ya TICTS kwa takribani miaka 30, kuanzia zama za marais Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Magufuli hadi sasa.

UONGO #4: Kampuni ya DP World haina uwezo wowote ule na ni wababaishaji

Ukweli:
Kampuni ya DP World inamilikiwa na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). DP World ni moja ya kampuni kubwa na zinazoheshimika duniani, ambayo inaendesha bandari kwenye nchi karibu 50 duniani, ikiwemo mataifa 10 ya Afrika

DP World inaaminiwa kuendesha bandari kwenye mataifa makubwa kabisa duniani, ikiwemo Marekani, China, Ujerumani, Ufaransa na Canada. Kwa upande wa Afrika, wapo Nigeria, Afrika Kusini, Rwanda, Misri, Msumbiji na nchi nyingine

Kwa mwaka 2022 peke yake, DP World ilipata mapato ya Dola za Marekani Bilioni 17.1 na faida ya Dola Bilioni 5 (sawa na shilingi trilioni 12).

DP World imewekeza zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 1.8 kwenye bara la Afrika katika miaka kumi iliyopita na inapanga kuwekeza Dola za Marekani Bilioni 3 (shilingi trilioni 7.2) kwenye bara hili katika miaka ijayo.

UONGO #5: *Tanzania haiwezi kupata faida yoyote kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam

Ukweli:
Uwekezaji binafsi ni jambo la kawaida kwenye bandari nyingi kubwa Afrika, Marekani, Asia na sehemu nyingine duniani.

Tanzania inatarajia kupata manufaa yatuatayo kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam:

(a) kuongeza fursa za ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutokana na uwekezaji mkubwa na ongezeko la Shehena ya Mizigo itakayopitia Bandari ya Dar es Salaam;

(b) kuongezeka kwa ufanisi katika uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi na kuleta tija stahiki katika mnyororo wa thamani wa huduma za bandari nchini;

(c) Kuongezeka kwa pato la Taifa kutokana na uboreshaji wa shughuli za kibandari;

(d) Kuongeza tija na kuwezesha mwendelezo wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imekuwa ikijengwa na Serikali kama vile Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), ujenzi wa meli za mizigo katika Maziwa Makuu, na Mradi wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam; na

(e) Kuchagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (Multiplier Effect)
zikiwemo Kilimo, Utalii, Viwanda, Mifugo, Uvuvi, Biashara na Usafirishaji na hivyo kuboresha ustawi wa Watanzania kwa ujumla.
Serikali ina hela za kuharibu kulipa hamnazo kama wewe halafu Mwigulu anatutangazia pato la serikali limeshuka?
 
Haikubaliki kwa serikali kuuza nchi yetu kwa haya majangili kutoka uarabuni

Tutapambana naekuikomboa nchi yetu
 
Lengo la UWEKEZAJI kwenye Bandari yetu ya Dar es Salaam ni suala lisiloelipuka. Mimi binafsi nina support kwa nguvu zote LAKINI kwa nini Serikali ilitumia SINGLE SOURCE kwa suala nyeti kama hili?. Hapa ndo sisi wananchi wa kawaida tunakuwa na wasiwasi kulikoni?.
 
Nani kakwambia kulikuwa na single source?
 
Lengo la UWEKEZAJI kwenye Bandari yetu ya Dar es Salaam ni suala lisiloelipuka. Mimi binafsi nina support kwa nguvu zote LAKINI kwa nini Serikali ilitumia SINGLE SOURCE kwa suala nyeti kama hili?. Hapa ndo sisi wananchi wa kawaida tunakuwa na wasiwasi kulikoni?.
Watu wanadalali nchi katika kisingizio cha uwekezaji, huyu mama katika kipindi cha miaka 2 mambo yako hivi vipi kama angekaa madarakani kwa miaka kama ya Mwalim Nyerere mambo yangekua vipi?

Ila nawambia Mungu anasema nao kwa sauti kubwa naishia hapa , hawataki elewa shauri zao,
 
Watu wanadalali nchi katika kisingizio cha uwekezaji , uyu mama katika kipindi cha miaka 2 mambo yako hivi vipi kama angekaa madarakani kwa miaka kama ya Mwalim Nyerere mambo yangekua vipi?

Ila nawambia Mungu anasema nao kwa sauti kubwa naishia hapa , hawataki elewa shauri zao,
Ingia barabarani uandamane mkuu. Take action, acha uoga.
 
Huyu DP WORLD alishindanishwa na nani katika kupata mkataba huu ilhali tuna Sheria ya Manunuzi?.
 
Mimi nimeshangaa nani mbabaishaji/ waliozusha ?

Kwani hao wanaodaiwa wababaishaji/wazushaji walitoa wapi hizo taarifa?

Kwanini hunge imefuta hilo tangazo kwenye tovuti yake?
TICTS na vibaraka wa TICTS ndiyi wanaizusha baada ya wao kupigwa chinu jqa kushindwankuendeleza bandari. Wamejaribu kika hula wameshindwa. Sasa wanatumia njia ys maji taka, kununua watu na kusambaza uongo.
 
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini

Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP World na Tanzania kinachotaja ukodishaji wa miaka 100

UONGO #2: Serikali imeuza bandari ya Dar es Salaam kwa mwekezaji wa nje

Ukweli:
Hakuna uwezekano wowote wa Serikali kuuza bandari yoyote nchini. Kinachopangwa kufanyika ni UKODISHAJI wa sehemu ya bandari ili kuongeza idadi ya shehena, ufanisi na mapato ya kodi

UONGO #3: Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kubinafsisha bandari

Ukweli:
Kumekuwa na UWEKEZAJI binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia kampuni ya TICTS kwa takribani miaka 30, kuanzia zama za marais Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Magufuli hadi sasa.

UONGO #4: Kampuni ya DP World haina uwezo wowote ule na ni wababaishaji

Ukweli:
Kampuni ya DP World inamilikiwa na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). DP World ni moja ya kampuni kubwa na zinazoheshimika duniani, ambayo inaendesha bandari kwenye nchi karibu 50 duniani, ikiwemo mataifa 10 ya Afrika

DP World inaaminiwa kuendesha bandari kwenye mataifa makubwa kabisa duniani, ikiwemo Marekani, China, Ujerumani, Ufaransa na Canada. Kwa upande wa Afrika, wapo Nigeria, Afrika Kusini, Rwanda, Misri, Msumbiji na nchi nyingine

Kwa mwaka 2022 peke yake, DP World ilipata mapato ya Dola za Marekani Bilioni 17.1 na faida ya Dola Bilioni 5 (sawa na shilingi trilioni 12).

DP World imewekeza zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 1.8 kwenye bara la Afrika katika miaka kumi iliyopita na inapanga kuwekeza Dola za Marekani Bilioni 3 (shilingi trilioni 7.2) kwenye bara hili katika miaka ijayo.

UONGO #5: *Tanzania haiwezi kupata faida yoyote kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam

Ukweli:
Uwekezaji binafsi ni jambo la kawaida kwenye bandari nyingi kubwa Afrika, Marekani, Asia na sehemu nyingine duniani.

Tanzania inatarajia kupata manufaa yatuatayo kutokana na uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam:

(a) kuongeza fursa za ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutokana na uwekezaji mkubwa na ongezeko la Shehena ya Mizigo itakayopitia Bandari ya Dar es Salaam;

(b) kuongezeka kwa ufanisi katika uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi na kuleta tija stahiki katika mnyororo wa thamani wa huduma za bandari nchini;

(c) Kuongezeka kwa pato la Taifa kutokana na uboreshaji wa shughuli za kibandari;

(d) Kuongeza tija na kuwezesha mwendelezo wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imekuwa ikijengwa na Serikali kama vile Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), ujenzi wa meli za mizigo katika Maziwa Makuu, na Mradi wa uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam; na

(e) Kuchagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (Multiplier Effect)
zikiwemo Kilimo, Utalii, Viwanda, Mifugo, Uvuvi, Biashara na Usafirishaji na hivyo kuboresha ustawi wa Watanzania kwa ujumla.
Naunga mkono hoja, ila hilo la Bandari za Marekani, sio kweli!, DPW ilipewa tender ya kuendesha Bandari 6 na serikali ya Marekani, lakini Bunge la Marekani liliwakatalia!, hivyo hawa DPW, hawaendeshi hata Bandari moja Marekani!. Bunge letu Tukufu lingekuwa makini kuzijua sababu za wenye akili hawa kuwagomea, tukaziona hazina mashiko kwetu ndio tukaendelea!.

Pili DPW ina makandokando mengi mahali pengi ilipo, ni vyema tukafanya a very serious due diligence report to mitigates the consequences for us!.

Hakuna. Mtanzania yeyote mwenye akili zake timamu anapinga maendeleo ya nchi yake, kinachotakiwa ni tumefanywa sana shamba la bibi, tusiendelee kufanywa shamba la bibi, let's negotiate a good deal!.
P
 
Back
Top Bottom