Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza...
18 Reactions
78 Replies
7K Views
Hapo vip!! Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa. Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k Au...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Elimu haina mwisho. Wabunge wetu ni watu makini na kama walivyoenda kujifunza kule Dubai na wakaja kufanya maamuzi yenye maslahi kwenye uwekezaji wa bandari, tunawaomba wabunge wetu hata 100...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Watanzania wamebubujikwa na machozi ya uchungu na upendo kwa Taifa lao walipokuwa wakisoma salamu za Eid zilizotolewa na Rais wetu mzalendo, mnyenyekevu, shupavu, imara...
-5 Reactions
75 Replies
4K Views
Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS -...
37 Reactions
211 Replies
13K Views
Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo...
2 Reactions
6 Replies
837 Views
TUSIINGIZE UDINI, SUALA LA BANDARI NI URITHI WA WATANZANIA Watu wanakuja na hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo hizi ni hoja binafsi na sisi Watanzania hatuna hizi kasumba za udini wala ukabila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Askofu Bagonza PhD ameulizwa Mbona yuko kinya Kwenye swala la Bandari Askofu Bagonza PhD amejibu Hayuko Kimya Mbona ameongea " Sasa hata Mabubu Wanasema mimi nilisema sana Wakati Taifa lote...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba za Rais Samia Hufuatiliwa Sana na mamillion ya watanzania,wengi Sana husitisha shughuli zao pale wanapofahamu siku fulani na muda fulani atakuwa mahali fulani kwa...
3 Reactions
102 Replies
5K Views
Kwa asili Mwanawake amejaliwa kwa neema ya mwenyezi Mungu kuwa msikivu. Ni msikivu mzuri na hasa 'anaposomeshwa' na mwanaume. vinginevyo, ndoa zisingekuwepo duniani. Tumeshuhudia siku za hivi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa masikitiko makubwa sana naandika huu uzi nikiwa sijui itakuwaje kwa wananchi wa Iringa wanaoishi kwa hofu kutokana na kundi la Simba lililopo kwenye maeneo yao. Vyombo vya habari kwa zaidi ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
WASOMI WAKISHAANZA KUKOSOA UTAWALA NI HATARI KUBWA:- Na Thadei Ole Mushi Wasomi Nguli nchini wameendelea kuongea, wameendelea kukosoa Mkataba wa Bandari, Ukiona wasomi kaliba ya kina Shivji...
7 Reactions
3 Replies
3K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili...
30 Reactions
98 Replies
10K Views
Baraza la Waislamu Tanzania limeitaka Serikali kufafanua maeneo yanayotiliwa shaka kuhusu uwekezaji bandari. Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nuru Mruma ametoa...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
Yaani nmemkumbuka Baba yangu yaani Leo namuita Mzee Leo mwana siasa na mkorofi msomi na mwandishi wa habari nguli baada ya kuwa amemsumbua sana Jakaya Kwa kumwandikia makala za kichokozi enzi hizo...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwaka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of...
6 Reactions
69 Replies
5K Views
Hilo jina linajadiliwa mno kwenye corridor za juu huko na upinzani ni mkubwa mno baina yeye na aliyepo sasa kwenye mambo ya (njuruuu)ni nani baina yao akawe boss wa wizara mpya inayoenda...
19 Reactions
52 Replies
5K Views
NAMIBIA: The 2019 Fishrot scandal was a moment of epiphany for many Namibians; a coming to terms with the unpleasant reality that Namibia’s public service has been a hotbed for corruption for many...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…