Aise urais ni mtamu. Nimemkumbuka Jakaya alivyomwajili baba yangu awe anamsomea tu Magazeti

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Yaani nmemkumbuka Baba yangu yaani Leo namuita Mzee Leo mwana siasa na mkorofi msomi na mwandishi wa habari nguli baada ya kuwa amemsumbua sana Jakaya Kwa kumwandikia makala za kichokozi enzi hizo akidai hafai kuwa Rais wa Tanzania kupitia Gazeti la Rai enzi hizo.

Malipo ya kazi hiyo baada ya Jakaya kuwa Rais akamwambia asajili kampuni na akisha isajili atampa tenda ya kuwa anamsomea Rais magazeti Kila Siku ya Mungu.

Ile kazi ilikuwa nyepesi sana Mzee alisajili kampuni chapu akashona suti za kutosha baada ya hapo chezo likaanza kudadeki Mzee anaamka anaaga anaenda kazini Ikulu na Mimi Sifi Leo nikaanza kujitapa yakuwa mshua yupo Ikulu. Huwezi amini macho yake Mzee kazi yake ilikuwa ni kumsomea Jakaya magazeti tu.

Muziki alikuwa nao Mzee pale alipokuwa anakutana na MAKALA zilizokuwa zinamsema vibaya Jakaya. Mzee wangu ananiambia alikuwa anatakiwa kwanza kumchekesha maana aliogopa anageweza chezea ngumi Moja hatari.

Anakumbuka Siku Moja alikuta MAKALA yenye kichwa Cha habari “Jakaya mweupe aliyendani ya Ikulu nyeusi". Unaambiwa makala hii ilikuwa imejaa kejeli za hali ya juu sana. Mzee anakwambia Siku hiyo aliamua kwenda na kiredio kidogo na kumwekea kawimbo ka zamani alikokapenda Jakaya ka "walimwengu ni wabaya ila Dunia ni nzuri" hahahaha mtoto wa Leo uwezi elewa.

Hako karedio sasahivi kapo hapo ikulu Mama yetu uwa anakasikiliza Kila Siku awapo kazini.
 
Yaani nmemkumbuka Baba yangu yaani Leo namuita Mzee Leo mwana siasa na mkorofi msomi na mwandishi wa habari nguli baada ya kuwa amemsumbua sana Jakaya Kwa kumwandikia MAKALA za kichokozi enzi hizo akidai hafai kuwa Rais wa Tanzania kupitia GAZETI la Rai enzi hizo.

Malipo ya kazi Hiyo baada ya Jakaya kuwa Rais akamwambia asajili kampuni na aliisha isajili atampa tenda ya kuwa anamsomea Rais magazeri Kila Siku ya Mungu.
Ile kazi ilikuwa nyepesi sana Mzee alisajili kampuni chapu akashona suti za kutosha baada ya hapo chezo likaanza kudadeki Mzee anaamka anaaga anaenda kazini ikulu na Mimi sifi Leo nikaanza kujitapa yakuwa mshua yupo ikulu.
Uwezi amini macho Yako Mzee kazi yake ilikuwa ni kumsomea Jakaya magazeti tu

Mziki alikuwa nao Mzee pale alipokuwa anakutana na MAKALA zilizokuwa zinamsema vibaya Jakaya Mzee wangu ananiambia alikuwa anatakiwa kwanza kumchekesha maana aliogopa anageweza chezea ngumi Moja hatari.

Anakumbuka Siku Moja alikuta MAKALA yenye kichwa Cha habari

*Jakaya mweupe aliyendani ya ikuku nyeusi" UNAAMBIWA MAKALA hii ilikuwa imejaa kejeri za Hali ya juu sana Mzee anakwambia Siku Hiyo aliamua kwenda na kiredio kidogo na kumwekea kawimbo ka zamani alikokapenda Jakaya ka "walimwengu ni wabaya ila Dunia ni nzuri" hahahaha mtoto wa Leo uwezi elewa.

Halo karedio sasahivi kapo hapo ikulu Mama yetu uwa anakasikiliza Kila Siku awapo kazini
Sasa wewe hukurithi hiyo kazi mkuu?
 
Ujue mshahara wake ni hizi kodi za Watanzania!! Hapo imekaaje? Labda iwe ni chai nzito iliyokolea tangawizi.
 
Ukiwa na hela hakuna kinachoshindikana!

Mi nikizipata, nitaajiri mtu wa kuscroll up and down na kucomment kwenye simu,maana nahisi kidole gumba changu kinachoka sana!

Mbaya zaidi unaweza kuandika then mods/admins wanadelete tu kwa upendeleo wao! Looh!
 
20211219_202239.jpg
 
Yaani nmemkumbuka Baba yangu yaani Leo namuita Mzee Leo mwana siasa na mkorofi msomi na mwandishi wa habari nguli baada ya kuwa amemsumbua sana Jakaya Kwa kumwandikia makala za kichokozi enzi hizo akidai hafai kuwa Rais wa Tanzania kupitia Gazeti la Rai enzi hizo.

Malipo ya kazi hiyo baada ya Jakaya kuwa Rais akamwambia asajili kampuni na akisha isajili atampa tenda ya kuwa anamsomea Rais magazeti Kila Siku ya Mungu.

Ile kazi ilikuwa nyepesi sana Mzee alisajili kampuni chapu akashona suti za kutosha baada ya hapo chezo likaanza kudadeki Mzee anaamka anaaga anaenda kazini Ikulu na Mimi Sifi Leo nikaanza kujitapa yakuwa mshua yupo Ikulu. Huwezi amini macho yake Mzee kazi yake ilikuwa ni kumsomea Jakaya magazeti tu.

Muziki alikuwa nao Mzee pale alipokuwa anakutana na MAKALA zilizokuwa zinamsema vibaya Jakaya. Mzee wangu ananiambia alikuwa anatakiwa kwanza kumchekesha maana aliogopa anageweza chezea ngumi Moja hatari.

Anakumbuka Siku Moja alikuta MAKALA yenye kichwa Cha habari “Jakaya mweupe aliyendani ya Ikulu nyeusi". Unaambiwa makala hii ilikuwa imejaa kejeli za hali ya juu sana. Mzee anakwambia Siku hiyo aliamua kwenda na kiredio kidogo na kumwekea kawimbo ka zamani alikokapenda Jakaya ka "walimwengu ni wabaya ila Dunia ni nzuri" hahahaha mtoto wa Leo uwezi elewa.

Hako karedio sasahivi kapo hapo ikulu Mama yetu uwa anakasikiliza Kila Siku awapo kazini.

Bora shule zifunguliwe Jumatatu urudi shule.👊
 
Back
Top Bottom