Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Viongozi wanajibu kunya kunya tu kama nchi ya kwao yani, wanapuuza tu wananchi wanajiona keki kuliko wananchi mbaya zaidi asilimia tisini au zaidi ni wanaharamu watupu wananchi hawakuwachagua...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara...
1 Reactions
3 Replies
477 Views
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Sanga aliitisha mkutano na kutangaza kuunda tume ndani ya siku 14 kuchunguza madai ya Mpina kupora mashamba ya wananchi Morogoro. Swali langu ni moja tu siku...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewaita viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kuwa ni majambazi na kufutilia mbali uwezekano wa mpango wa amani utakaovigeuza vita vya Ukraine kuwa mgogoro...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili. Mawaziri 1. Juma Aweso 2. Innocent Bashungwa 3. Angela Kairuki 4. Kapteni Mkuchika UPANDE wa...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Mwanauchumi mahiri na mtaalamu wa Fedha Dr. Charles Kimei Ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 Kwa Kuja na Bajeti Zenye uhalisia na zinazotekelezeka. Akichangia Bungeni Dkt. Kimei ametolea mfano...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Sasa kama una Maswali Mbunge wako ndio anarudi jimboni kwa ajili ya kutoa Elimu kwa Wananchi Kadhalika unaweza kupitia Mabanda ya Bunge na TPA pale Uwanja wa Maonesho ya Kimataifa Saba Saba kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu kada wake Balozi Ali Abeid Karume kutokana na kauli zake za kukidhalilisha chama na viongozi wake. Hatua hiyo...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haikusudii kuwashusha matajiri ili walingane na masikini kwa kuwa hiyo ni "sadist mind" na kwamba itaendelea kutekeleza miradi ya...
19 Reactions
112 Replies
9K Views
Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati. Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni...
1 Reactions
2 Replies
676 Views
(Kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Ibara ya 18(2): Ndugu Waandishi wa Habari, Kwa kutumia Haki yetu ya Kikatiba, “ Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini...
24 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Back
Top Bottom