Salamu za Eid za Rais Samia zawatoa machozi Watanzania, waapa kudumisha upendo na kukemea ubaguzi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,264
9,715
Ndugu zangu watanzania,

Watanzania wamebubujikwa na machozi ya uchungu na upendo kwa Taifa lao walipokuwa wakisoma salamu za Eid zilizotolewa na Rais wetu mzalendo, mnyenyekevu, shupavu, imara, Hodari, Jasiri, mama mwenye huruma kwa Watanzania, mama msikivu, mwenye hekima, busara na upendo, mwenye mapenzi mema na Taifa letu, mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa, aliyepa kulipigania Taifa letu, mwenye kiapo cha upendo kwa Tanzania na Watanzania, mwenye Damu ya kitanzania na aliye jaa uadilifu usiopimika katika mizani mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania Jasiri muongoza njia,Taa ya Afrika na Nuru ya wanyonge.

Rais Samia kwa uzalendo na upendo mkubwa sana, kwa unyenyekevu na uungwana amesisitiza na kuwaasa watanzania juu ya kudumisha upendo, amani na umoja wetu, amesisitiza juu ya kupendana kwetu watanzania pasipo kubaguana kwa misingi ya aina yoyote ile, ametutaka watanzania kuwa makini na kujiepusha na mambo yanayoweza kutugawa Kama Taifa.

Rais Samia ametuhimiza watanzania kuwajali na kuwasaidia watanzania wenzetu wenye uhitaji na kuhitaji msaada. Kwa hakika Rais Samia amegusa mioyo ya watanzania,ameitoa machozi kwa moyo wake wa upendo, Watanzania wameona ni kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anaishi ndani ya Rais Samia, kwa kuwa katika kuasisi na kupigania Uhuru wa Taifa letu na katika miaka yote ya uongozi wake alituasa watanzania juu ya kupendana na kuepuka ubinafsi na ubaguzi kwa misingi ya udini, ukabila na hata ukanda.

Rai yangu kwetu watanzania tuungane na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, tuendelee kushikamana na kuungana kama Taifa, tupigane Vita kwa pamoja na ushindi uwe wetu pamoja, tujivunie utanzania wetu,tusibaguane Wala kunyosheana vidole vya wale na sisi au huku na Kule, sisi sote ni Watanzania na Taifa letu Ni moja Tu.

Tuendelee kulipigania Taifa letu na kuwaunga mkono viongozi wetu,penye kasoro tuonyeshe kwa hoja kwa heshima, busara na uungwana, tujiepushe na lugha za matusi, udhalilishaji na ubaguzi. Tumheshimu Rais wetu, tutambue Rais wetu ni mama wa familia, ni Bibi wa wajukuu zake, ni Rais wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Anahitaji kuheshimiwa kwa nguvu zote na kulindwa kwa hali ya juu Sana hadhi yake na Taasisi ya Urais. Tutoe ushauri kwa uungwana na ujumbe utafika kwa mwenye kuhitaji kufanya hivyo.

Tusikubali akashambuliwa na watu waliokosa hekima,busara na upendo kwa Taifa letu, tusikubali Rais wetu adhalilishwe machoni petu kwa kuwa ndio Nembo ya Taifa letu na Taswira yetu watanzania popote alipo, tusipandikizwe mbegu za udini, ukabila wala ukanda. Hoja zetu zisimame Kama hoja pasipo kuchanganywa na hayo niliyoyataja.

Rais wetu Ni mzalendo na amethibitisha uzalendo wake kwa matendo na maneno, hawezi kuliangamiza Taifa letu wali kulielekeza shimoni Taifa letu wala kuliweka katika hali ya hatari kiusalama wala kuuweka uchumi wetu hatarini. Mama yetu ni mcha Mungu asiye na tamaa za kujilimbikizia mali yeye binafsi na familia yake, ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na anayetambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kugusa maisha ya watu, ndio maana uongozi wake wakati wote umekuwa ni wenye kuleta tabasamu, furaha na matumaini kwa Watanzania.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Mama hana huruma, kwa mihangaiko yako angeshakutunuku chochote.

Mama hawajali wenye uhitaji, wewe unauhitaji sana na bado kakukacha.

Mama anabagua machawa, wengine wananawiri huku wewe ukikondeana.

Tuache hayo;
Mkuu, ukihitaji uteuzi nakupa sifa moja. Sifa zisiwe nyingi. Pambiza kwneye yale yanayohusu siku husika. Achana na mapambio ya hovyo. Siku ya huzuni, nyimbo ziwe za huzuni. Ukileta nyimbo za kusifu utaonekana hayawani.
 
Ndugu zangu watanzania,

Watanzania wamebubujikwa na machozi ya uchungu na upendo kwa Taifa lao walipokuwa wakisoma salamu za Eid zilizotolewa na Rais wetu mzalendo, mnyenyekevu, shupavu,imara,Hodari,Jasiri,mama mwenye huruma kwa watanzania,mama msikivu, mwenye hekima, busara na upendo,mwenye mapenzi mema na Taifa letu,mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa,aliyepa kulipigania Taifa letu,mwenye kiapo Cha upendo kwa Tanzania na watanzania,mwenye Damu ya kitanzania na aliye jaa uadilifu usiopimika katika mizani mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania Jasiri muongoza njia,Taa ya Afrika na Nuru ya wanyonge.

Rais Samia kwa uzalendo na upendo mkubwa Sana,kwa unyenyekevu na uungwana amesisitiza na kuwaasa watanzania juu ya kudumisha upendo ,amani na umoja wetu,amesisitiza juu ya kupendana kwetu watanzania pasipo kubaguana kwa misingi ya aina yoyote Ile,ametutaka watanzania kuwa makini na kujiepusha na mambo yanayoweza kutugawa Kama Taifa.

Rais Samia ametuhimiza watanzania kuwajali na kuwasaidia watanzania wenzetu wenye uhitaji na kuhitaji msaada. Kwa hakika Rais Samia amegusa mioyo ya watanzania,ameitoa machozi kwa moyo wake wa upendo, watanzania wameona Ni Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Anaishi ndani ya Rais Samia,kwa kuwa katika kuasisi na kupigania Uhuru wa Taifa letu na katika miaka yote ya uongozi wake alituasa watanzania juu ya kupendana na kuepuka ubinafsi na ubaguzi kwa misingi ya udini ,ukabila na hata ukanda.

Rai yangu kwetu watanzania tuungane na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, Tuendelee kushikamana na kuungana kama Taifa,tupigane Vita kwa pamoja na ushindi uwe wetu pamoja,tujivunie utanzania wetu,tusibaguane Wala kunyosheana vidole vya wale na sisi au huku na Kule ,sisi sote Ni watanzania na Taifa letu Ni moja Tu.

Tuendelee kulipigania Taifa letu na kuwaunga mkono viongozi wetu,penye kasoro tuonyeshe kwa hoja kwa heshima ,busara na uungwana,tujiepushe na lugha za matusi , udhalilishaji na ubaguzi,.Tumheshimu Rais wetu,tutambue Rais wetu Ni mama wa familia,Ni Bibi wa wajukuu zake,Ni Rais wa nchi,kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,.Anahitaji kuheshimiwa kwa nguvu zote na kulindwa kwa Hali ya juu Sana hadhi yake na Taasisi ya Urais ,Tutoe ushauri kwa uungwana na ujumbe utafika kwa mwenye kuhitaji kufanya hivyo.

Tusikubali akashambuliwa na watu waliokosa hekima,busara na upendo kwa Taifa letu,Tusikubali Rais wetu adhalilishwe machoni petu kwa kuwa ndio Nembo ya Taifa letu na Taswira yetu watanzania popote alipo,Tusipandikizwe mbegu za udini,ukabila Wala ukanda.hoja zetu zisimame Kama hoja pasipo kuchanganywa na hayo niliyoyataja.

Rais wetu Ni mzalendo na amethibitisha uzalendo wake kwa matendo na maneno,hawezi kuliangamiza Taifa letu wali kulielekeza shimoni Taifa letu Wala kuliweka katika Hali ya hatari kiusalama Wala kuuweka uchumi wetu hatarini.mama yetu Ni mcha MUNGU asiye na Tamaa za kujilimbikizia Mali yeye binafsi na familia yake,Ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na anayetambua kuwa uongozi Ni utumishi kwa watu na kugusa maisha ya watu,ndio maana uongozi wake wakati wote umekuwa Ni wenye kuleta Tabasamu, furaha na matumaini kwa watanzania.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Luca msambwanda achana na uchawa
 
😂😂😂😂😂😂😂😂ila we jamaa kama hawajakupa hata ujumbe wa nyumba 10 basi CCM itakuwa ni watu wabaya sana.

Unajua hasa kujitoa ufahamu. Sijasoma mpaka mwisho ulichoandika ila najaribu kutafakari hayo maneno yalikuwa mazuri kiasi gani mpaka kuweza kumuacha mtu asienjoy pilau lake la idi aanze kulia?
 
Ndugu zangu watanzania,

Watanzania wamebubujikwa na machozi ya uchungu na upendo kwa Taifa lao walipokuwa wakisoma salamu za Eid zilizotolewa na Rais wetu mzalendo, mnyenyekevu, shupavu, imara, Hodari, Jasiri, mama mwenye huruma kwa Watanzania, mama msikivu, mwenye hekima, busara na upendo, mwenye mapenzi mema na Taifa letu, mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa, aliyepa kulipigania Taifa letu, mwenye kiapo cha upendo kwa Tanzania na Watanzania, mwenye Damu ya kitanzania na aliye jaa uadilifu usiopimika katika mizani mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania Jasiri muongoza njia,Taa ya Afrika na Nuru ya wanyonge.

Rais Samia kwa uzalendo na upendo mkubwa sana, kwa unyenyekevu na uungwana amesisitiza na kuwaasa watanzania juu ya kudumisha upendo, amani na umoja wetu, amesisitiza juu ya kupendana kwetu watanzania pasipo kubaguana kwa misingi ya aina yoyote ile, ametutaka watanzania kuwa makini na kujiepusha na mambo yanayoweza kutugawa Kama Taifa.

Rais Samia ametuhimiza watanzania kuwajali na kuwasaidia watanzania wenzetu wenye uhitaji na kuhitaji msaada. Kwa hakika Rais Samia amegusa mioyo ya watanzania,ameitoa machozi kwa moyo wake wa upendo, Watanzania wameona ni kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anaishi ndani ya Rais Samia, kwa kuwa katika kuasisi na kupigania Uhuru wa Taifa letu na katika miaka yote ya uongozi wake alituasa watanzania juu ya kupendana na kuepuka ubinafsi na ubaguzi kwa misingi ya udini, ukabila na hata ukanda.

Rai yangu kwetu watanzania tuungane na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, tuendelee kushikamana na kuungana kama Taifa, tupigane Vita kwa pamoja na ushindi uwe wetu pamoja, tujivunie utanzania wetu,tusibaguane Wala kunyosheana vidole vya wale na sisi au huku na Kule, sisi sote ni Watanzania na Taifa letu Ni moja Tu.

Tuendelee kulipigania Taifa letu na kuwaunga mkono viongozi wetu,penye kasoro tuonyeshe kwa hoja kwa heshima, busara na uungwana, tujiepushe na lugha za matusi, udhalilishaji na ubaguzi. Tumheshimu Rais wetu, tutambue Rais wetu ni mama wa familia, ni Bibi wa wajukuu zake, ni Rais wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Anahitaji kuheshimiwa kwa nguvu zote na kulindwa kwa hali ya juu Sana hadhi yake na Taasisi ya Urais. Tutoe ushauri kwa uungwana na ujumbe utafika kwa mwenye kuhitaji kufanya hivyo.

Tusikubali akashambuliwa na watu waliokosa hekima,busara na upendo kwa Taifa letu, tusikubali Rais wetu adhalilishwe machoni petu kwa kuwa ndio Nembo ya Taifa letu na Taswira yetu watanzania popote alipo, tusipandikizwe mbegu za udini, ukabila wala ukanda. Hoja zetu zisimame Kama hoja pasipo kuchanganywa na hayo niliyoyataja.

Rais wetu Ni mzalendo na amethibitisha uzalendo wake kwa matendo na maneno, hawezi kuliangamiza Taifa letu wali kulielekeza shimoni Taifa letu wala kuliweka katika hali ya hatari kiusalama wala kuuweka uchumi wetu hatarini. Mama yetu ni mcha Mungu asiye na tamaa za kujilimbikizia mali yeye binafsi na familia yake, ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na anayetambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kugusa maisha ya watu, ndio maana uongozi wake wakati wote umekuwa ni wenye kuleta tabasamu, furaha na matumaini kwa Watanzania.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wewe ni msengerema
 
Cc. Erythrocyte
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom