Hotuba za Rais Samia hufuatiliwa sana na Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,338
9,766
Ndugu zangu Watanzania,

Hotuba za Rais Samia Hufuatiliwa Sana na mamillion ya watanzania,wengi Sana husitisha shughuli zao pale wanapofahamu siku fulani na muda fulani atakuwa mahali fulani kwa ajili ya kushiriki tukio fulani na atapata nafasi ya kutoa hotuba yake. Hii Ni kutokana na watanzania kutambua ukweli kuwa Rais Samia Ni kiongozi mkweli Sana,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mcha Mungu ambaye wakati wote huzungumza ukweli awapo mbele ya hadhira bila kujari watu watapokeaje hotuba yake.

Ni kiongozi ambaye huwa hazungumzi ili kuwafurahisha watu,bali huzungumza ukweli ili watu wajuwe na wawe na nafasi ya kujuwa muelekeo wake na mtizamo wake au hatua ambazo anatarajia kuchukua juu ya Jambo fulani kisera au kisheria au kibajeti au kupitisha Jambo fulani au kuondoa Jambo fulani. Ni kiongozi ambaye kwake nyeupe Ni nyeupe na nyeusi Ni nyeusi na chafu Ni chafu na Safi Ni Safi yaani huusema na kuutamka ukweli bila hofu Wala wasiwasi ya kumkwaza mtu.

Ndio maana kunapotokea taharuki ya Jambo fulani katika Taifa letu mamilioni ya watanzania huwa na shauku kubwa Sana ya kutaka kupata Neno kutoka kwa Rais,utasikia ukipita mitaani watu wakisema tuna Imani na tunamwamini mama yetu na hawezi kutuangusha na atakuja kusema neno na mioyo yetu itatulia na kukunjuka.

Watanzania wanafahamu na wanamfahamu mama yetu na Rais wetu kuwa Ni mama , kiongozi na Rais wa ulimi mmoja na siyo ndimi mbili,Ni kiongozi aliyejijengea heshima kubwa Sana katika hili ndani na nje ya Taifa letu.jambo hili limemfanya kuaminika,kupendwa , kuungwa mkono,kusikilizwa na kufuatiliwa Sana na watanzania hotuba zake pale anaposimama kuongea sehemu yoyote Ile katika mipaka ya Tanzania na nje ya mipaka ya Taifa letu.

Ndio sababu wakati wote watanzania wanatamani kumsikia Rais akizungumza juu ya Mambo makubwa yanayokuwa yanaleta Taharuki na mgawanyiko ndani ya jamii,sauti na Neno la Rais Samia huleta matumaini, Tabasamu na faraja katika mioyo ya watanzania, sauti na maneno yake huleta utulivu ndani ya Taifa,huleta mshikamano na umoja wa kitaifa,huzima upotoshaji na kuwaacha wapotoshaji wamejawa na aibu katika nyuso zao.

Ndio maana hata alipokuwa jijini Arusha tuliona shauku ya watanzania wakisema Sema mama yetu,.Katika hili napenda kusema ya kuwa Rais Samia amepata kibali kikubwa Sana kutoka kwa Mwenyezi MUNGU Cha kukubalika mbele za watu,anaaaminika kuwa kiongozi mwenye uzalendo mkubwa Sana na mwenye uadilifu mkubwa usiotiliwa mashaka na mtu yeyote yule ndani ya Taifa letu.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

.. ila ww jamaa.. sijui tsfiti zako unazifanya wapi
 
Buhahahahahahahahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukweli mimi sijawah sikiliza hata moja.
Ila nakumbuka hotuba za mwamba pale ofsini walikua wanawasha redio kwa sauti kubwaaa na kila mtu anasikiliza hata kula watu hawali mpaka hotuba iishe.....wengne walikua wanaandika adi notisi
 
ikitokea Rais Samia Anatoa hotuba yake unakuta watu wamekaa maeneo ya Biashara yenye TV utafikiri Kuna mechi ya Simba na yanga uwanja wa Taifa,lakini mitaani nako unakuta watu wamekaa vikundi vikundi wakifutilia hotuba ya mama kupitia simu zao.
 
Dubai, Zanzibar au Tanganyika?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hotuba za Rais Samia Hufuatiliwa Sana na mamillion ya watanzania,wengi Sana husitisha shughuli zao pale wanapofahamu siku fulani na muda fulani atakuwa mahali fulani kwa ajili ya kushiriki tukio fulani na atapata nafasi ya kutoa hotuba yake. Hii Ni kutokana na watanzania kutambua ukweli kuwa Rais Samia Ni kiongozi mkweli Sana,Ni kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi mcha Mungu ambaye wakati wote huzungumza ukweli awapo mbele ya hadhira bila kujari watu watapokeaje hotuba yake.

Ni kiongozi ambaye huwa hazungumzi ili kuwafurahisha watu,bali huzungumza ukweli ili watu wajuwe na wawe na nafasi ya kujuwa muelekeo wake na mtizamo wake au hatua ambazo anatarajia kuchukua juu ya Jambo fulani kisera au kisheria au kibajeti au kupitisha Jambo fulani au kuondoa Jambo fulani. Ni kiongozi ambaye kwake nyeupe Ni nyeupe na nyeusi Ni nyeusi na chafu Ni chafu na Safi Ni Safi yaani huusema na kuutamka ukweli bila hofu Wala wasiwasi ya kumkwaza mtu.

Ndio maana kunapotokea taharuki ya Jambo fulani katika Taifa letu mamilioni ya watanzania huwa na shauku kubwa Sana ya kutaka kupata Neno kutoka kwa Rais,utasikia ukipita mitaani watu wakisema tuna Imani na tunamwamini mama yetu na hawezi kutuangusha na atakuja kusema neno na mioyo yetu itatulia na kukunjuka.

Watanzania wanafahamu na wanamfahamu mama yetu na Rais wetu kuwa Ni mama , kiongozi na Rais wa ulimi mmoja na siyo ndimi mbili,Ni kiongozi aliyejijengea heshima kubwa Sana katika hili ndani na nje ya Taifa letu.jambo hili limemfanya kuaminika,kupendwa , kuungwa mkono,kusikilizwa na kufuatiliwa Sana na watanzania hotuba zake pale anaposimama kuongea sehemu yoyote Ile katika mipaka ya Tanzania na nje ya mipaka ya Taifa letu.

Ndio sababu wakati wote watanzania wanatamani kumsikia Rais akizungumza juu ya Mambo makubwa yanayokuwa yanaleta Taharuki na mgawanyiko ndani ya jamii,sauti na Neno la Rais Samia huleta matumaini, Tabasamu na faraja katika mioyo ya watanzania, sauti na maneno yake huleta utulivu ndani ya Taifa,huleta mshikamano na umoja wa kitaifa,huzima upotoshaji na kuwaacha wapotoshaji wamejawa na aibu katika nyuso zao.

Ndio maana hata alipokuwa jijini Arusha tuliona shauku ya watanzania wakisema Sema mama yetu,.Katika hili napenda kusema ya kuwa Rais Samia amepata kibali kikubwa Sana kutoka kwa Mwenyezi MUNGU Cha kukubalika mbele za watu,anaaaminika kuwa kiongozi mwenye uzalendo mkubwa Sana na mwenye uadilifu mkubwa usiotiliwa mashaka na mtu yeyote yule ndani ya Taifa letu.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Vice versa its true
 
Yaani huyu jamaa kama ni uchawa umezidi huu ni ukunguni kabisa nenda kasome uteuzi hautafutwi kwa kuandika uzi mrefu usio na maana wala ukweli wowote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom