Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo tumekopa kujenga miundombinu na kununua magari ya mwendo kasi tulitegemea wazawa wangeachwa wanaendesha.
Ukweli uliopo kwa sasa ipo kila dalili kwamba tayari yupo mtu ameuziwa huu mradi aanze kukusanya pesa na kuzipeleka kwao Ulaya au Asia.
Kinachoendelea na nilichokiona ni wazi watawala wanafanya makusudi kutosimamia mradi huu ili wapate sababu za kuuza kwa wageni.
Yapo makampuni ya mabasi ya watu weusi yanayosimamiwa na watanzania hayana management mbovu kama mwendo kasi . Makampuni hayo yamejiri watanzania na yanapata faida na kulipa kodi zote. Tulitegemea wenye mabasi wapewe tenda kama serikali imeshindwa ila naamini wataambiwa mitaji yao midogo na hawana uzoefu.
Nipo paleee nimekaa natazama mkoloni anayeletwa kutawala. Kataa utumwa