Omar Ramadhan Mapuri ana umri gani, mbona bado anateuliwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.

Mapuri.jpg

Balozi Omar Ramadhan Mapuri​
 
Una matatizo wewe! Kila siku hutaki wazee, una nini lakini? Kwani wazee si wananchi wa nchi hii? Unachosha na kutia kinyaa kwa ubaguzi wako. Ipo siku na wewe utakuwa mzee ujue
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Samia apumzishwe kwa nguvu la sivyo anaenda kujeruhia vibaya sana taifa. Jiulize kwanini kanisa wa RC na dini wa kiislamu hawataki kabisa kuongozwa na Mwanamke. Mwanamke hata uzae nae watoto 1000 anaweza kukuacha kwa kusifiwa tu umbo lake. Mtu kasifiwa na kuwekwa kwenye ule mnara mrf matokeo yake kauzaTanganyika.
 
Back
Top Bottom