Waumini wa Dini ya Kiislamu mkoani Tanga wamefanya Dua maalumu ya kumuombea Rais Samia kufuatia Mgawanyiko dhidi ya Mkataba wa Bandari
Source: EATV
My take: Ni jambo jema sana
Sipingi Wananchi kuandamana kuelezea hisia zao, bali ni vema taratibu zizingatiwe.
Naangalia BBC aisee huko Paris hali ni tete sana, polisi 45,000 wameingizwa barabarani na bado hawatoshi.
Mali...
si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa...
Kila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe.
Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Ubalozi mdogo wa Umoja wa Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) Zanzibar.
Halfa hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Nchi...
Akionyesha kuguswa na kukerwa na kuvunjiwa heshima na wachangiaji wake kwenye picha aliyoiweka (instagram) akiwa Dubai Zembwela amemjibu mmoja wa wale kuwa;
"Sisi tulienda kushuhudia kama kweli...
Kama ni ushauri umetolewa, kama ni tahadhari zimetolewa, kama ni kelele zimepigwa na kama ni mifano imetolewa lakini harakati zote hizo zaelekea kupuuzwa!
Mtu unabaki tu kujiuliza hivi hili...
Uchambuzi wao kuhusu makubaliano ya serikali ya Tanzania na Emiratrs of Dubai unaleta shaka sana
Vipengele vingi TLs wamechambua kama watu wa sekondari na sio professionals wa business...
Kwamba hata kama hana Biashara yoyote ni lazima atapewa tu hiyo namba akishafikisha umri uliotajwa huku taarifa zaidi zinaeleza kwamba atakayekaidi jambo hili atahesabika kama ametenda kosa la...
Wakati Lem aanatoa hizi Lawama hakuna Cha maana ametoa hapo Hospital zaidi ya kusema alikuwa anzaunguka zunguka.
Lema anasema sio Mafundisho ya Yesu.
My Take
Lema anagombana na Kila mtu ,alianza...
Habari wakuu!
Hichi kinachoendelea ni moja ya Maendeleo makubwa ambayo Kwa awamu ya tano isingewezekana, serikali ipongezwe Kwa kurejesha Maendeleo haya ya Watu kuwa Huru.
Kimsingi nchi inaamani...
Kutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia.
Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu...
Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kwamba mpaka sasa kimejenga ofisi mpya za kisasa zinazofikia idadi ya 457, nchi nzima.
Jambo hili limefichuliwa na Katibu Mkuu wa Chama...
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.
Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha...
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au...
Kumekuwa na Kampeni ya kuokacha dollar ya Marekani kutumika kama kipimo Cha conversion ya kuwezesha biashara kwenye soko la Dunia ambalo Kila Nchi Ina sarafu yake..
Hii imekuja baada ya Nchi...
Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na...
Chama cha Chadema kimemaliza Utata wa kuwa na Makao makuu yasiyorudhisha ambapo hivi karibuni watahamia kwenye Makao makuu Mapya
Kwa muda mrefu Chadema imekuwa ikidhihakiwa kwamba ofisi zake za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.