Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania. Nimesoma sehemu ndogo sana ya...
44 Reactions
226 Replies
26K Views
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC bi Halima Mdee ameishutumu Serikali Kwa Kukiuka na kupuuza Maagizo ya Bunge yaliyotolewa kwenye maasimio kuhusu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii taarifa ni ya kweli? Walio bainika kuiba Kwa mujibu wa ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua Kali sana. Wapo waliohamishwa kutoka wilaya moja kwenda nyingine. Wapo walioshushwa cheo. Wapo...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameuonya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) dhidi ya kukubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache. Chongolo alitoa...
0 Reactions
8 Replies
962 Views
Najua nafasi za Wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa Wanaume zimeisha lakini unaweza kufanyika utaratibu kama ule alioufanya Shujaa Magufuli wa kumpa Ubalozi viti Maalum mmoja wa kiume Ili Prof Assad...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO), je...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Wengi tulijua kitendo cha Rostam kumshambulia Dr Slaa personally badala ya kujibu hoja ya bandari ni mpango wa Mungu ili Dr apate sababu ya kufunguka zaidi. Imekuwa hivyo, na sasa sio Rostam tuu...
53 Reactions
168 Replies
21K Views
Hili lilikuwa angalizo muhimu sana lilitolewa na Shujaa Magufuli mara baada ya Devotha Minja kurejeshwa kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge Morogoro Mjini Awali Mgombea wa CCM alifanya figisu za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia amesema maboresho yanayofanyika kule Bandarini yazingatie kufunga Mitambo ya kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya) Rais Samia amesema hayo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Kama ada linapokuja suala la rasilimali za nchi kuliwa na wajanja wachache lazima tupaze sauti. Wazo linanituma kipindi cha Royal Tour ya Rais Samia huko Marekani Rais alisaini mikataba mingi sana...
21 Reactions
79 Replies
5K Views
Mungu ampe pumziko la milele Hayati Kipenzi cha Watanganyika, Baba wa Taifa hili, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Huyu baba alikuwa ni maono kwani alijua jambo litatokea na kweli hutokea. Wakati...
2 Reactions
2 Replies
603 Views
1. Hatuwezi kuurekebisha vifungu vya makubaliano hadi mshirika wetu Dubai akubali. Njia hii imependekezwa na watu wengi kwamba tuurekebishe mkataba huu na tufute vipengele vinavyo lalamikiwa. Je...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Ibara ya 63(3)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalipa mamlaka Bunge la nchi kujadili na kupitisha mikataba inayoingiwa Kati ya Tanzania na Mataifa mengine. Siku ya majadiliano...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa jamaa wamejisahau mpaka wamepitiliza! Hawajui hapo walipo ni kwa niaba ya wananchi ili kutetea maslahi ya nchi. Wanalipwa mishahara minono pamoja na posho mbalimbali kwa pesa (kodi)...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu wana JF, Tujuzane kwa anaefahamu alipo sasa mwanasiasa machachali wa CHADEMA Silvester Kasulumbai.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini...
56 Reactions
144 Replies
14K Views
Back
Top Bottom