Ukimuona Maulid Kitenge anavyojimina kuzitaja faida za uwekezaji za bandari mpaka unaona hivi huyu ni chizi fresh? Anaongea yasiyokuwepo, anyway siwezi bisha hilo ila swali langu ni kwamba nchi...
Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa?
Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World...
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa...
TICTS wamekuwepo pale kwa miaka 22 toka kipindi cha uongozi wa hayati Mkapa.
TPA walio na haki ya usimamizi wa bandari zetu nchini wanajiandaa kuwapokea DPW ambao wanakuja na "Era" mpya...
MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA
"Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe...
Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups.
Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash...
Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world.
Wapiga debe hao wamekuwa wakisema...
UTANGULIZI:
Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria...
Nitasema kweli daima , Fitna kwangu mwiko .
Miaka ya nyuma kidogo , kabla awamu ya 5 , Uteuzi wa Mabalozi waliowakilisha nchi yetu ulizingatia uwezo wa Mteuliwa katika masuala ya kimataifa...
Wachina wanamiminika kuja kufanya Biashara nchini kwa sababu tuna Mkataba wa Ushirikiano wa Nchi zetu
Kwa mfano Tanzania tuna Balozi Nigeria na Nigeria ina Balozi wake hapa nchini lakini ATCL...
Tuliopo ndani ya chama kwa miaka mingi sana hii ndio kanuni, Mwenyekiti wa CCM Taifa yaani Rais wa Tanzania kichama ana mamlaka kuu tatu ndani ya CCM
1.Yeye ndiye sheria
2.Yeye ndiye Taratibu...
DP world, Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya...
Vijana hakuna kitu cha bure kwenye maisha ,lazima ulipe gharama kwa unachokihitaji
Anayeandaa mtaala mpya wa elimu kwa vijana yeye mwenyewe hauamini mtaala kama unatekelezeka na wala hana uhakika...
Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa...
Baada ya kuona report ya CAG hakuna walichoingiza mfukoni au familia zao kubadilika sasa wanajadili bandari. Kelele za bandari nazo baada ya watu kuona hawaingizi chochote mfukoni sasa wanajadili...
Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35.
1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania
2. Fanya mtihani wa lugha ya German
German inatoa viza...
Wanabodi wa jamii forums,
Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
Rais Samia aliwahi kusema katika moja ya Hotuba zake kuwa aliambiwa na mtu ndani kuwa nanukuu; 'Wakataokuangusha ni kijani wenzio wala sio wapinzani'.
Kumbuka haya maneno na ufikirie tena juu ya...
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.
Kwani, ni hawa hawa waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.