Kwa nini kila sehemu waliokaa waarabu inakuwa maskini .

Hapo vip!!
Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa.

Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k

Au ni ile laana ya asili waliokuwa nayo?
Sehemu gani ni tajiri hapa tanzania Rukwa mpanda katavi karagwe, moshi Ruvuma au kibondo. Bila kuweka chuki na waarabu Tz yote ni masikini unafu uko kidogo mijini hasa mpwani na dar
 
Hapo vip!!
Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa.

Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k

Au ni ile laana ya asili waliokuwa nayo?
Mbona umeparuka Dar Mkoa Tajiri kuliko Yote Tanzania? Na majority ya hivyo vitu ikiwemo Ikulu, Hospitali ya Taifa, Shule na Mambo kibao wakiwa wamejenga wao?

Wakati Zanzibar wapo Waarabu ndio sehemu pekee Africa kulikua na Umeme na Maghorofa yenye lift, lile jengo la Bait al ajaib ama Nyumba ya maajabu pale Zanzibar watu wanatoka Dunia nzima kuliangalia.

Tanga mpaka 1956 ni Manispaa Tayari, ilikuwa ndio mji mkubwa Tanzania, Mji umepangika, Maendeleo kibao. Kuna mtu alikuja kuuharibu na sio waarabu wenyewe. Japo umeharibiwa ila Tanga mpaka leo ipo juu Kiutajiri kushinda Arusha, Kilimanjaro na mikoa kibao ambayo ni Maarufu.

Pengine Waarabu ni masikini kwenye Mentality yako na sio uhalisia?
 
Ikimwagwa Damu juu ya ardhi bila HATIA,au

Kafara ya Damu ikifanyika juu ya ardhi, na ardhi ikafumbua kinywa kumeza Damu ambayo kafara hiyo imetolewa Kwa miungu mingine,

Automatically lazima LAANA ije juu ya ARDHI.

Pwani na maeneo mengine waliuwawa wengi sababu ya biashara ya utumwa,

Ardhi hiyo, inahitaji Ukombozi wa Damu ya Yesu kufuta LAANA hizo.

Tanzania soon itangara sana ktk Kila nyanja sababu Nchi yangu imekombolewa na madhabahu ya Mungu wa Kweli itasimama kuongoza watu wake.

Amen.
 
Hapo vip!!
Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa.

Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k

Au ni ile laana ya asili waliokuwa nayo?
Kuna watu unawatafuta ubaya 🤣🤣🤣🤣.
Sa kama hawajengi shule, vyuo, hospitals, wanakomaa na misikiti unategemea nini.

Hata Azam, Azania, Mo na wengine uwajuavyo wamewaajiri sana kama madereva ila kila siku wanalia ujira mdogo
 
Anagalia sehemu kama bukene au kayenze ni aibu afu leo hii unategemea dp world waje na mbinu tofauti.
 
Hata igunga anapotokea Rost tamu,

Pamoja na utajiri wa mchongo alionao, Bado hajaweza badili Uchumi wa anakotoka,

Kamwe asiaminiwe ateteapo DP World, watatuletea Umaskini Watanzania.
 
Back
Top Bottom