Fatma Karume: Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata hao Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na Sote Tutakuwa Watumwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,133
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata wale Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na wote wanakuwa Watumwa na inakuwa Harusi kwa wote

Fatma amesema ola Hili la kuwakamata Watu kwa kukosoa ni Msiba kwa familia chache haikubaliki na haistahimiliki

Amesema hayo kwenye ukurasa wake wa twitter

My take; Huyu Fatma amevurugwa na nini yarabi!
 
Alichokosa kusema, ni kuwa, hao wanaouza Nchi wanandugu zao huko. Kikianza kichapo, ubakaji, uuaji na minyanyaso, wao watakimbilia Dubai! Itoshe kusema, tuliringishiwa hapa na baadhi ya Waunga mkono kuwa wao wana uwezo wa kurudi Dubai au Omani....ni Kwao ati

Watanganyika hatuna pa kukimbilia.
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata wale Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na wote wanakuwa Watumwa na inakuwa Harusi kwa wote

Fatma amesema ola Hili la kuwakamata Watu kwa kukosoa ni Msiba kwa familia chache haikubaliki na haistahimiliki

Amesema hayo kwenye ukurasa wake wa twitter

My take; Huyu Fatma amevurugwa na nini yarabi!

Maoni si kuvurugwa bali Maono!
Muhimu kuyapima aliyoyatoa,
mhusika asijadiliwe…
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata wale Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na wote wanakuwa Watumwa na inakuwa Harusi kwa wote

Fatma amesema ola Hili la kuwakamata Watu kwa kukosoa ni Msiba kwa familia chache haikubaliki na haistahimiliki

Amesema hayo kwenye ukurasa wake wa twitter

My take; Huyu Fatma amevurugwa na nini yarabi!
Kadhia ya baba'ke mdogo kufukuzwa CCM na vijiafisa vya CCM vya ngazi za chini imemuuma sana Fatma Karume.

Si wahamie ACT tu, mbona mjomba'ke siku nyingi kahamia ACT? Na wao sera yao si ya Zanzibar kuuzwa.
 
Kwa akili yako wewe. Bandari kwann zisiuzwe saaa
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Raha ya Kuuzwa Nchi ni hata wale Wanaoiuza Wanajiuza Wao na Vizazi vyao na wote wanakuwa Watumwa na inakuwa Harusi kwa wote

Fatma amesema ola Hili la kuwakamata Watu kwa kukosoa ni Msiba kwa familia chache haikubaliki na haistahimiliki

Amesema hayo kwenye ukurasa wake wa twitter

My take; Huyu Fatma amevurugwa na nini yarabi!
Babu yake, Hayati Karume aliuchukia ukoloni wa mwarabu dhidi ya mwafrika. Aliongoza mapambano dhidi ya sultani akitumia silaha duni kabisa, akiwa amejitoa maisha yake, kama mapinduzi yangeshindwa.

Fatma, mjukuu wa Karume, ni muhimu sana kwake1¹1kulinda legacy hii ya babu yake. Itakuwa ni laana kubwa kwa uzao wa Karume kushiriki kwa namna yoyote ile kuurudisha ukoloni wa mwarabu ambao babu yake aliuondosha.

Hongera sana Fatma Karume, hongera shangazi wa Taifa kamabaadhi wanavyomwita.
 
Ni mpwa anaongezea utajiri wa mjomba, yeye anachaguzi 2, akae wa mama na ama aende kwa mjomba!

Mlio na uchaguzi mmoja kazi kwenu
 
Kadhia ya baba'ke mdogo kufukuzwa CCM na vijiafisa vya CCM vya ngazi za chini imemuuma sana Fatma Karume.

Si wahamie ACT tu, mbona mjomba'ke siku nyingi kahamia ACT? Na wao sera yao si ya Zanzibar kuuzwa.
😂😂😂 Anaogopa Utumwa wakati Zanzibar kuna kampuni ya kupeleka mabeki Tatu Uarabuni

Fatma bure Kabisa!
 
Kadhia ya baba'ke mdogo kufukuzwa CCM na vijiafisa vya CCM vya ngazi za chini imemuuma sana Fatma Karume.

Si wahamie ACT tu, mbona mjomba'ke siku nyingi kahamia ACT? Na wao sera yao si ya Zanzibar kuuzwa.
Karume na wazao wake ni wa Afro Shiraz, na Afro Shiraz na TANU, ndivyo vilivyozaa CCM. Wageni wamekuja CCM wanawaondoa wenye CCM yao.
 
Tatizo wao wamenunuliwa na cash wanazo kwenye account zao hivyo wanaweza kusepa na kuchukua uraia wa nchi zingine
 
kwa hiyo dubai atakuwa mkoloni mpevu nasi kuwa koloni jipya la dubai. Kuna mtu aliandika kitabu 'kwaheri uhuru karibu utumwa' mwingine aliandika kitabu 'long walk to freedom', ok, kama ccm wameamuamua kutuuza utumwani na wao kujiuza, katika utumwa tutapambania tupate uhuru sisi na vizazi vyetu hata kama tayari tumeuzwa na mkataba umesainiwa, wanasema hawatarudi nyuma imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom